Miss trinity
Member
- Feb 18, 2014
- 95
- 24
Ukiona makamasi yameanza kutoka chini na juu ujue tayari.
Asante kwa taarifa maana wifiyako analalamika nyonga zina kaza na kiuno kinamuuma, ingawa bado kama wiki 2hivi.Nyongeza kidogo, soma vitabu vinavyohusiana na uzazi, maelezo Mengi ya mtaani si sahihi na Mengi ni uongo, pendelea pia kujisomea zaidi baada ya kujifungua jinsi gani umtumze mtoto na kumlisha na wewe mama kujiweka Ktk hali nzuri , km simu yako inaweza kudown load , unaweza kudownload app ya hiyo www.emmadiary.com ukiweka tarehe ya makisio ya kujifungua itakuwa inakueleza kila siku mimba yako ikoje na mtoto wako anavyokuwa tumboni, Inaleta utulivu wa akili kujijua na kumjua mwanao kabla hajazaliwa.., all the best
Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
Wengi wanatofautiana, ila asilimia kubwa ya wanawake uanza na mzunguko wamaumivu madogo au km kutekenya kutokea nyuma ya kiuno mpk mbele ya kinena, yanatulia na kuanza tena kadili mtoto anavyosogea kwenye
Njia ya kutokea, maumivu uongezeka nguvu zaidi kadili nyonga zako zinapolazimishwa kutanuka na kichwa cha mtoto, maumivu uzidi na kuzidi, kila mara na kuacha kwa muda na kuaza tena,
Taadhali: usisubiri mpk vitu vitoke chini ndio ukimbilie hospital, mara uanzapo dalili wahi hospital,maana dalili za kutoka vitu chini km ute na Maji mara nyingi ni dalili za mtoto kuwa karibu sana kutoka, chupa kupasuka,
Km unajua kingereza hata kidogo ,nenda kwenye hii website hapa utasoma kila siku ya mwenendo wa mtoto wako tumboni na dalili za mama anavyojisikia toka wiki ya 1 mpk 40 ambayo ndio makadilio ya kujifungua, hautakuwa na mashaka hata kidogo kila kitu kinapobadilika Ktk mwili wako, utashauliwa vyakula, muda wa kupumzika na jinsi ya kuondoa stress unapokuwa mjamzito, www.emmadiary.com au google ingia www.babycenter.com hiyo ita kuonyesha pia kwa Njia ya video jinsi mtoto wako anavyoendelea tumboni na Njia gani ya uzazi utapendelea utumie, faida na hasara zake pia, I wish you good luck mama
Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
Nimeridhika na majibu hongera.Asante kwa taarifa maana wifiyako analalamika nyonga zina kaza na kiuno kinamuuma, ingawa bado kama wiki 2hivi.
Mm sio mwanamke mwamba ni Mwanamme nimeridhika na elimu iliyotolewa au maelezo yaliyotolewa hapo kuhusu mja mzito na siku au mazingira ya kujifunguwa kwake.Mungu akujalie ukajifungue salama
Ooh!! Sorry mkuuMm sio mwanamke mwamba ni Mwanamme nimeridhika na elimu iliyotolewa au maelezo yaliyotolewa hapo kuhusu mja mzito na siku au mazingira ya kujifunguwa kwake.
Usiogope Malkia wangu wa NguvuMimi naogopa Sana uchungu
Usiogope Malkia wangu wa Nguvu
Ukifika mida hiyo, kila kitu kitaenda sawa.
Will always be there 4U Swtbird
Mimi naogopa Sana uchungu