dalili za uchungu kwa mama mjamzito.

dalili za uchungu kwa mama mjamzito.

Ukiona makamasi yameanza kutoka chini na juu ujue tayari.
 
tumbo huanza kuwa kama linajaa gesi na pia utaanza kuona ute ute kutoka kwenye uke.
 
Wengi wanatofautiana, ila asilimia kubwa ya wanawake uanza na mzunguko wamaumivu madogo au km kutekenya kutokea nyuma ya kiuno mpk mbele ya kinena, yanatulia na kuanza tena kadili mtoto anavyosogea kwenye
Njia ya kutokea, maumivu uongezeka nguvu zaidi kadili nyonga zako zinapolazimishwa kutanuka na kichwa cha mtoto, maumivu uzidi na kuzidi, kila mara na kuacha kwa muda na kuaza tena,
Taadhali: usisubiri mpk vitu vitoke chini ndio ukimbilie hospital, mara uanzapo dalili wahi hospital,maana dalili za kutoka vitu chini km ute na Maji mara nyingi ni dalili za mtoto kuwa karibu sana kutoka, chupa kupasuka,

Km unajua kingereza hata kidogo ,nenda kwenye hii website hapa utasoma kila siku ya mwenendo wa mtoto wako tumboni na dalili za mama anavyojisikia toka wiki ya 1 mpk 40 ambayo ndio makadilio ya kujifungua, hautakuwa na mashaka hata kidogo kila kitu kinapobadilika Ktk mwili wako, utashauliwa vyakula, muda wa kupumzika na jinsi ya kuondoa stress unapokuwa mjamzito, www.emmadiary.com au google ingia www.babycenter.com hiyo ita kuonyesha pia kwa Njia ya video jinsi mtoto wako anavyoendelea tumboni na Njia gani ya uzazi utapendelea utumie, faida na hasara zake pia, I wish you good luck mama

Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
Nyongeza kidogo, soma vitabu vinavyohusiana na uzazi, maelezo Mengi ya mtaani si sahihi na Mengi ni uongo, pendelea pia kujisomea zaidi baada ya kujifungua jinsi gani umtumze mtoto na kumlisha na wewe mama kujiweka Ktk hali nzuri , km simu yako inaweza kudown load , unaweza kudownload app ya hiyo www.emmadiary.com ukiweka tarehe ya makisio ya kujifungua itakuwa inakueleza kila siku mimba yako ikoje na mtoto wako anavyokuwa tumboni, Inaleta utulivu wa akili kujijua na kumjua mwanao kabla hajazaliwa.., all the best

Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
Wanawake ujisikia sana kufanya mapenzi wkt waja wazito, km uko single jiepushe kupiga punyeto, utajisababishia presha japo itakufanya u relax na kupata usingizi , ila itajenga mazoea, na hautakuwa ukilala bila hiyo, fanya mazoezi na tumia muda mwingi kusoma vitabu vya kukuelimisha juu ya hali yako,,, just to remind your last post, punyeto is not safe hasa kwa mjamzito , jiepushe kuangalia vitu vinavyoamasisha km picha na video za ngono..,,

Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
Nyongeza kidogo, soma vitabu vinavyohusiana na uzazi, maelezo Mengi ya mtaani si sahihi na Mengi ni uongo, pendelea pia kujisomea zaidi baada ya kujifungua jinsi gani umtumze mtoto na kumlisha na wewe mama kujiweka Ktk hali nzuri , km simu yako inaweza kudown load , unaweza kudownload app ya hiyo www.emmadiary.com ukiweka tarehe ya makisio ya kujifungua itakuwa inakueleza kila siku mimba yako ikoje na mtoto wako anavyokuwa tumboni, Inaleta utulivu wa akili kujijua na kumjua mwanao kabla hajazaliwa.., all the best

Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
Asante kwa taarifa maana wifiyako analalamika nyonga zina kaza na kiuno kinamuuma, ingawa bado kama wiki 2hivi.
 
Wengi wanatofautiana, ila asilimia kubwa ya wanawake uanza na mzunguko wamaumivu madogo au km kutekenya kutokea nyuma ya kiuno mpk mbele ya kinena, yanatulia na kuanza tena kadili mtoto anavyosogea kwenye
Njia ya kutokea, maumivu uongezeka nguvu zaidi kadili nyonga zako zinapolazimishwa kutanuka na kichwa cha mtoto, maumivu uzidi na kuzidi, kila mara na kuacha kwa muda na kuaza tena,
Taadhali: usisubiri mpk vitu vitoke chini ndio ukimbilie hospital, mara uanzapo dalili wahi hospital,maana dalili za kutoka vitu chini km ute na Maji mara nyingi ni dalili za mtoto kuwa karibu sana kutoka, chupa kupasuka,

Km unajua kingereza hata kidogo ,nenda kwenye hii website hapa utasoma kila siku ya mwenendo wa mtoto wako tumboni na dalili za mama anavyojisikia toka wiki ya 1 mpk 40 ambayo ndio makadilio ya kujifungua, hautakuwa na mashaka hata kidogo kila kitu kinapobadilika Ktk mwili wako, utashauliwa vyakula, muda wa kupumzika na jinsi ya kuondoa stress unapokuwa mjamzito, www.emmadiary.com au google ingia www.babycenter.com hiyo ita kuonyesha pia kwa Njia ya video jinsi mtoto wako anavyoendelea tumboni na Njia gani ya uzazi utapendelea utumie, faida na hasara zake pia, I wish you good luck mama

Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
Asante kwa taarifa maana wifiyako analalamika nyonga zina kaza na kiuno kinamuuma, ingawa bado kama wiki 2hivi.
Nimeridhika na majibu hongera.
 
Elimu ya Afya huwa hainitoshi siku zote ijapokuwa napenda kujifunza mambo tofauti kila siku lkn jaman na haya matokeo yanayotoka huvunja Talents na Ndoto za wahusika.

Uko huru kudadavua haya maneno.
 
Mm sio mwanamke mwamba ni Mwanamme nimeridhika na elimu iliyotolewa au maelezo yaliyotolewa hapo kuhusu mja mzito na siku au mazingira ya kujifunguwa kwake.
Ooh!! Sorry mkuu
Nlivoona hlo bandiko
Nkafkir n ke
 
Back
Top Bottom