JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Iwapo shinikizo la damu liko juu sana(zaidi ya 200/120mm /Hg)
Shinikizo la damu la juu sana hata baada ya matibabu kuzingatiwa
Kushindwa kuona kwa sababu ya shinikizo la damu
Kuwepo kwa protini kwenye mkojo
Mgonjwa wa shinikizo la damu kuonesha dalili kama vile kuvimba, kukosa hamu ya chakula, kuchoka na kukosa nguvu