dalili za ukimwi huchukua mda gani kujionyerha

Goroba20

Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
6
Reaction score
2
mara baada ya kujamiana na mtu mwenye v.v.u je ni kipindi gani dalili huanza kujionyesha
 
Mkubwa ball dinda akri potea! Baada ya kuuza mechi akili ndio imerudi,ukimwi siku hz co case inategemea na kinga zako inaweza kuja kuchukua miaka 2 hadi mi5.
 
mara baada ya kujamiana na mtu mwenye v.v.u je ni kipindi gani dalili huanza kujionyesha

baada ya miezi mitatu nenda regency pima ngoma ukikutwa negative tulia na vuta pumzi ukikutwa nao ni pm nikupe namba za madabida
 
inategemea mambo mengi sana kwanza ukipata msosi mzuri na stress free life inaweza chukua mpaka more than ten years, kinyume cha hayo mawili aisee less than a year.
 
Muhimu ni kwenda kupima tu..

The possibility of an HIV free generations begins with you...

Hiv/Aids target by 2015 ni getting to zero..

1-This means Zero new infections
2-Zero discriminations and stigmatization
3- Zero death related to Aids..

Nenda kapime mkuu.. Wajanja wote wa mjini siku hizi Angaza ni kama maskani hata hatuogopi..
 
chezea papuchi weyeee,inategemea na body immune zako bro,mi nina uncle wng mwaka wa 10 huu anawaua tu na wala hajaanza kutumia dawa,afya tele,na hv riziki anayo basi madem wenye tamaa ndo wanakufa tu,kama 8 hv hadi sasa washadondoshwa nae
 
Sasa hivi kuna vipimo ambavyo vinaweza kubaini maambukizi kuanzia wiki tatu baada ya kuambukizwa.
Kupata dalili za ugonjwa hutegemewa kinga ya mwili na uwepo kwa magonjwa nyemelezi.

Dokta, nilifikiri kuna vipimo vinavyoweza kubaini maambukizi pengine baada ya saa kadhaa tangu mtu apate maambukizi, kumbe sivyo!
 
chezea papuchi weyeee,inategemea na body immune zako bro,mi nina uncle wng mwaka wa 10 huu anawaua tu na wala hajaanza kutumia dawa,afya tele,na hv riziki anayo basi madem wenye tamaa ndo wanakufa tu,kama 8 hv hadi sasa washadondoshwa nae
Mshauri uncle wako asiwauwe atakau anatenda dhambi nyingi sana..wengi wakishaupata wanamrejea mola wao, au kwa sababu ana hela, hataki tena maisha baada ya haya mafupi yaliyojaa stress!!
 
Mkubwa nawe unachangia kwanini usi report issue polisi au kwenye vyombo husika? kuambukiza ukimwi makusudi ni kosa kisheria.
 
Mshauri uncle wako asiwauwe atakau anatenda dhambi nyingi sana..wengi wakishaupata wanamrejea mola wao, au kwa sababu ana hela, hataki tena maisha baada ya haya mafupi yaliyojaa stress!!

we acha tu mkuu,mi mwenyewe nammind sana kwani anaweza kutuweka hata cc ktk cheni yake
 
mkuu,nisharipoti sana wanasema hawana ushahidi wa kumtia matatani,mi mwenyewe sipatani naye

Okay kama uli report umeplay ur part unaweza ukatuinbox jina na anapofanya shughuri zake tulipeleke swala kwenye level nyingine hii itasaidia kuokoa wanaombukizwa coz ukiacha ipo siku chain itakuja kwako indirect.
 
Hiyo ni cheni ambayo itawaumiza hata wa karibu yake kwani njia ndo zilezile anahisi anawakomesha wenye tamaa zao ila akubari kuwa unawahusu wa karibu ndugu jamaa na marafik pia. Muhimu ni kujikubari na kumrudia mungu. Haina sababu ya kuondoka na wengi wakati uwezekano wa kuondoka peke yako upo jamani. Tena kwa wakati huu unaweza kuishi vile utakavyo muhimu ni kufata masharti.
 
Kweli aondoke peke yake.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…