dalili za ukimwi huchukua mda gani kujionyerha

dalili za ukimwi huchukua mda gani kujionyerha

dalili utegemeana na 1kinga ya mwili 2 genetics

wenye kinga dhaifu dalili hutokea mapema sababu ni rahisi mwili kushambuliwa na wagonjwa nyemelezi ,wengi wao huchukua miaka 2 adi5 kuonyesha dalili,wale wenye kinga imara huenda adi miaka 15 na zaidi

kwa upande wa genetics(vinasaba) kuna kundi ambalo kiasili virus huzaliana kwa kasi na kushambulia mwili kwa haraka bila kujali kinga ya mwili ikoje,hawa tunawaita rapid progressor,dalili hujitokeza mapema sana 2--5 years.
pia genetically kuna slow progressor hawa huchukua hadi miaka 25 kuonyesha dalili.
 
mara baada ya kujamiana na mtu mwenye v.v.u je ni kipindi gani dalili huanza kujionyesha

. Hatua ya kwanza au maambukizi ya mwanzo
ya HIV. Hatua hii huwa ni ya muda wa wiki nne
na ni asilimia 20 tu ya watu wenye maambukizi
ya VVU walio kwenye hatua hii ambao hupata
dalili na viashiria vikali vya ugonjwa huu, lakini
mara nyingi madaktari hushindwa kutambua
kama mgonjwa amepata maambukizi ya virusi
vya Ukimwi kutokana na dalili na viashiria vyake
kufanana sana na dalili za magonjwa mengine.
Mgonjwa aliye katika hatua hii ya kwanza ya
maambukizi ya VVU huweza kuonesha dalili na
viashiria kama vile kuvimba tezi, kupatwa na
homa kali, kuumwa koo, kujihisi mchovu, kujihisi
maumivu sehemu mbalimbali mwilini kutokwa na
vipele mwilini,kutapika, kuharisha au kuumwa
tumbo. Mgonjwa anayepata dalili na viashiria
hivi tunasema kwamba amepata "Acute HIV
infection/Acute HIV retroviral infection au
seroconversion illness." Dalili hizi hutokana na
mwili wa mtu mwenye maambukizi ya VVU
kuanza kutengeneza kinga dhidhi ya VVU.
 
Back
Top Bottom