Dalili za ushindi kwa Mutharika zasema mengi kuhusu hali ya Demokrasia Malawi ikilinganishwa na Tanzania

Dalili za ushindi kwa Mutharika zasema mengi kuhusu hali ya Demokrasia Malawi ikilinganishwa na Tanzania

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
1,003
Reaction score
2,236
Wakati Tanzania ikiendelea na maigizo uchwara ya uchaguzi kiini macho unaopingwa kila kona ya nchi na Watanzania, nchini Malawi ambako demokrasia inaonekana kushamiri zaidi, Mgombea anaetetea kiti chake Hon. Lazarus Chakwera anaonekana kuangukia pua.

Matokeo yasiyo rasmi yanayoendelea kupokelewa kutoka katika majimbo mbalimbali ya kupigia kura nchini Malawi yanaonesha kuwa Rais wa zamani, Arthur Peter Mutharika (APM), ameanza kuongoza kwa kiasi kikubwa katika uchaguzi wa mwaka 2025. Takwimu za awali zinaonyesha kuwa anafanya vizuri sio tu katika ngome zake za jadi, bali pia katika maeneo ambayo kwa kawaida yamekuwa ngome za kiongozi wa Malawi Congress Party (MCP), Lazarus Chakwera.

Soma zaidi kupitia link hii hapa chini.
https://www.nyasatimes.com/unofficial-results-show-considerable-lead-for-apm/
 
Malawi wanatuzidi Tanganyika,sisi ni uongo na utapeli wa CCM ndio umetawala
 
Hivi Chakwera alifeli wapi?au hakutimiza ahadi
Ukitoka Salima kuja Mzuzu hadi Chitipa/Karonga hali ya miundo mbinu ya barabara ni mbaya kupitiliza. Hao wakazi wa kati na kaskazini wakijiapiza kumla kichwa,walimuonya asikanyage hata kufanya kampeni
 
Hivi Chakwera alifeli wapi?au hakutimiza ahadi
Mara nyingi uchaguzi ukifanyika kwa uhuru na haki, rais mtetea kiti huwa matatani. Zambia, Kenya na Malawi wamefanikiwa kutengeneza chaguzi huru. Hawa wote tulikuwa tuko level moja kidemokrasia au pengine walikuwa na hali mbaya ya ukandamizaji kuliko sisi.
 
Malawi wamesharogwa,,, nchi itakuwa maskini milele... Kila miaka 5 mwizi mpya au wa zamani anarudi kazini...
 
Hivi Chakwera alifeli wapi?au hakutimiza ahadi
Hali ngumu ya maisha, inflation ni kubwa mno, unajua kwacha yao ilikuwa devalued by 45%, plus ukosefu wa ajira, miundombinu duni, changamato ya upatikanaji wa mafuta......yani mambo ni mengi sana yamemuangusha plus rushwa
 
nchi nyingi tu zinafanya vyema kidemokrasia kuliko Tanzania. Sisi uchawa na kutishia watu amani> Mbona Malawi hawafanyi siasa za Amani. CCM waongo sana
Kabisa mkuu......Tanzania ndio imekuwa mzonga kabisa.....huyu takataka Samia ni bure kabisa
 
Hali ngumu ya maisha, inflation ni kubwa mno, unajua kwacha yao ilikuwa devalued by 45%, plus ukosefu wa ajira, miundombinu duni, changamato ya upatikanaji wa mafuta......yani mambo ni mengi sana yamemuangusha plus rushwa
Kumbe ndivyo ilivyo
 
Malawi wamesharogwa,,, nchi itakuwa maskini milele... Kila miaka 5 mwizi mpya au wa zamani anarudi kazini...
Wewe sasa ndio unajua wizi wa demokrasia hilo wananchi hawaambiwi hata hapa tz aingi huyo Tundu mnayemuani kuwa atawaletea maisha mazuri kwa kila mtz nawaambia awamu ya pili mnamuondoa nyinyi wenyewe hilo niwahakikishie
 
Back
Top Bottom