Ukitoka Salima kuja Mzuzu hadi Chitipa/Karonga hali ya miundo mbinu ya barabara ni mbaya kupitiliza. Hao wakazi wa kati na kaskazini wakijiapiza kumla kichwa,walimuonya asikanyage hata kufanya kampeniHivi Chakwera alifeli wapi?au hakutimiza ahadi
Mara nyingi uchaguzi ukifanyika kwa uhuru na haki, rais mtetea kiti huwa matatani. Zambia, Kenya na Malawi wamefanikiwa kutengeneza chaguzi huru. Hawa wote tulikuwa tuko level moja kidemokrasia au pengine walikuwa na hali mbaya ya ukandamizaji kuliko sisi.Hivi Chakwera alifeli wapi?au hakutimiza ahadi
Hali ngumu ya maisha, inflation ni kubwa mno, unajua kwacha yao ilikuwa devalued by 45%, plus ukosefu wa ajira, miundombinu duni, changamato ya upatikanaji wa mafuta......yani mambo ni mengi sana yamemuangusha plus rushwaHivi Chakwera alifeli wapi?au hakutimiza ahadi
Hawa watapoteana hivi karibuni wanadhani kutisha na kuua raia ndio solution ya matatizo ya nchiCcm ndio kwanza unatishwa kuawa
Kabisa mkuu......Tanzania ndio imekuwa mzonga kabisa.....huyu takataka Samia ni bure kabisanchi nyingi tu zinafanya vyema kidemokrasia kuliko Tanzania. Sisi uchawa na kutishia watu amani> Mbona Malawi hawafanyi siasa za Amani. CCM waongo sana
Mbona TZ maskini na ccm imekua madarakani toka uhuru.Malawi wamesharogwa,,, nchi itakuwa maskini milele... Kila miaka 5 mwizi mpya au wa zamani anarudi kazini...
Mbona TZ maskini na ccm imekua madarakani toka uhuru.
Kumbe ndivyo ilivyoHali ngumu ya maisha, inflation ni kubwa mno, unajua kwacha yao ilikuwa devalued by 45%, plus ukosefu wa ajira, miundombinu duni, changamato ya upatikanaji wa mafuta......yani mambo ni mengi sana yamemuangusha plus rushwa
Wewe sasa ndio unajua wizi wa demokrasia hilo wananchi hawaambiwi hata hapa tz aingi huyo Tundu mnayemuani kuwa atawaletea maisha mazuri kwa kila mtz nawaambia awamu ya pili mnamuondoa nyinyi wenyewe hilo niwahakikishieMalawi wamesharogwa,,, nchi itakuwa maskini milele... Kila miaka 5 mwizi mpya au wa zamani anarudi kazini...