Dalili za wanawake wanaosaliti ndoa zao……………!

hahahaah The Boss aisee! kwao gee uende na gunia la mkaa tena? si watakubatiza uhauziboi? nasubiri at least nimiliki kabajaji bana ndio nikatize.


@ Klorokwini .......Hahaha hata kibajaji hapa hapana aisee,kinapitisha vumbi kile 😛


@the Boss........yaani ukitaja gunia la mkaa napata picha ya shati limechoka na mabaka meusi meusi, aggggrrrrrrr ....ntake radhi bwana. Lol
 
Mnaosema eti huna haja ya kumchunguza mwenzio fikirieni tena. Ukiwa huna haja ya kumchunguza ujue hakuna tatizo. Ila kama kuna tatizo, ujue mambo huwa hayawi kawaida ndo maana unalazimika kuanza kuchunguza. Kwa kifupi akiwa anatoka (Mke au mme) lazima wewe ambaye hutoki utaathirika na tabia yake hiyo. Mfano mwanamke akitoka kwa mwanaume mwingine hata usipochunguza, atakufanyia vitu ambavyo huvitarajii. Huduma inaweza kukauka kabisa, hata akifanya analipua tu ili umalize uondoke. Heshima hupungua au huisha kabisa na magomvi yasiyo na sababu huzuka muda wowote bila hata kutarajia.

Kwa mfano ukiwa na usafiri, yuko sehemu anakwambia njoo unichukue. Unakwenda, anakuweka saa nzima, halafu akitoke ukamuuliza imekuwaje akugandishe saa nzima, hana maelezo ila anafoka tu au anazira kabisa hataki tena kupanda lift yako! Anaweza kuchelewa kurudi bila sababu, ukiuliza unaambulia matusi au kununiwa wiki nzima.

Baada ya hayo yote, napenda nikubaliane na mtambuzi kwa asilimia mia moja!! Hili ni jambo ambalo nimeliona na nilithibitisha! Dalili zoote alizotaja mtambuzi niliziona. Kifupi, sasa hivi tuna wind-up ndoa ya miaka 13!
 
Mkuu niruhusu niongeze dalili moja:

UKARIMU ULIOPITILIZA

Mwanamke aliyeanza cheating utaanza kuona anajitia kukujali kuliko ilivyo kawaida yake, akiwa yupo magendo au anaelekea magendo lazima upigiwe simu-dear uko wapi?, au amerudi home utaulizwa mara hili mara lile ili umuone ni perfect wife, au utaletewa zawadi hii au ile, ili muradi tu akuzuge kumbe babu jinga mali zako zinaliwa!
 
Actually I will take a Fiat or a Mini-Cooper anytime.

Si unajua kama anataka kuwa romantic kweli lazima amuonyeshe mwanamke kuwa ni wa kipekee sio Vitz every other girl has it

unajua kuwa some guy can fall for a woman for just the 'taste she has for some stuffs'???lol
naona Kloro ana google miini cooper hapo lol
 
unajua kuwa some guy can fall for a woman for just the 'taste she has for some stuffs'???lol
naona Kloro ana google miini cooper hapo lol

Duh! Kazi wanayo viumbe wanaume kumbe! lol

Kloro ulishamwambia dua yake haitakubaliwa, kwa hiyo sina wasi wasi nae
 
Duh! Kazi wanayo viumbe wanaume kumbe! lol

Kloro ulishamwambia dua yake haitakubaliwa, kwa hiyo sina wasi wasi nae

amepata a smile today..so you never know with women ...lol

but kuhusu taste...mbona hata some women pia nimesikia na kuona...
 
amepata a smile today..so you never know with women ...lol

but kuhusu taste...mbona hata some women pia nimesikia na kuona...

Wanawake tunaambiwa ni watu wanaodanganyika na superficial things, kama kumpigia Kikwete kura kwa sababu handsome (compared to Mkapa? Slaa?"

Kwa hiyo kumzimikia mwanamme kwa sababu anavaa vizuri, au anapenda vitu fulani japo wewe binafsi hakujui inawezekana sana, sikujua kuwa na wanaume wana tabia hiyo pia

Wewe mwenzetu ulizimikiwa kwa taste gani? Pray tell 😉
 

the golden touch lol
 
Hahahaha si madogo!

Jibu sikulitegemea, nilijua litakuwa kama "alivutiwa na namna unavyolipuka pamba" hivi

lol unanivunja mbavu mno....
do i appear that way to you???
artificial namna hiyo????lol

hivi wanaume huwa 'tunalipuka pamba'?
sio mambo ya wavulana?high school stuffs? lol
au we still unazimika na 'pamba'? Kloro where are you...????
HA HAAA nimeruka mtego wako naona lol
 

hahahaha ......kazi kweli kweli Boss mbona unaogopa kivuli chako 😛

Mwanamme smart anaevaa vizuri anavutia bwana asikwambie mtu. Shati saizi inayotakiwa na viatu visafi vinaweza kukusogeza walau ukasikilizwa unachotaka kusema wakati mwengine. Nice smell is an extra point too

So nilijua kapenda perfume ......hahaha
 
Boss anauliza kama ulipata mtu akakuletea magunia ya mkaa na live chicken ........:[

Hahaaaaa yeye si ndo alikuwa anatangaza live chicken hapa....

Boss ulipata pa kuzipeleka? Angalia asije akakusaliti ukajutia vikuku vyako heri ufuge ule mayai.

(hahhaaa wee GEE SI ALIKUWA ANATAKA KUJARIBISHIA KWAKO LAKINI AU?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…