Dalili za wanawake wanaosaliti ndoa zao……………!

funny kwenye haya mambo women dont grow up....lol
always same same ....lol

but honestly kuna kitu 'usefull' umeongea...lol
 
Hahaaaaa yeye si ndo alikuwa anatangaza live chicken hapa....

Boss ulipata pa kuzipeleka? Angalia asije akakusaliti ukajutia vikuku vyako heri ufuge ule mayai.

(hahhaaa wee GEE SI ALIKUWA ANATAKA KUJARIBISHIA KWAKO LAKINI AU?)

trust me BEE
live chicken wana nguvu sana kwenye haya mambo lol...
 
Hahaaaaa yeye si ndo alikuwa anatangaza live chicken hapa....

Boss ulipata pa kuzipeleka? Angalia asije akakusaliti ukajutia vikuku vyako heri ufuge ule mayai.

(hahhaaa wee GEE SI ALIKUWA ANATAKA KUJARIBISHIA KWAKO LAKINI AU?)

Haaa nna wasi wasi unataka ajaribu atolewe upate kumcheka tu, coz unajua kuwa hapa ni full Romanesque when it comes to Romance
 
Na nikuyakuta manyoya nami lazima nikachinje wawili zaidi ili twende sawa!
 
funny kwenye haya mambo women dont grow up....lol
always same same ....lol

but honestly kuna kitu 'usefull' umeongea...lol

Bee keshakwambia hakuna anaekuwa when it comes to love and attraction ....:]
 
Reactions: bht
very true..na kila mara tunapojifanya 'tumekua' tunaharibu....lol

wanasema mapenzi 'mchezo wa kitoto wa ukubwani'...lol

Si unaona Boss, yaani sijui huwa inakuwaje tu....
 
Jamani hapa huwa watu siwaelewi..utaona leo amekuja na ..Dalili za wana-me/ke wanaotoka nje ya ndoa, mala dalili za demu changudoa, nahitaji jimama la kunipa raha...

Jamani haya yote ya nini? kwa nini tusiishi kama moyo wako unavyokutuma? ishi wewe kama wewe usimtegemee mtu yeyote aje hapa akushauri kitu na wewe bila kuchunguza ukweli wake unakurupuka na ku-ACt on it! haya hizo dalili ulizozitoa hapo juu utaona watu wanaanza kuwachunguza wake zao....leo mke amesahau pete yake tayari mume anaanza kuuliza, leo kachelewa saluni bila hata kufikiria labda alipitia kwenye mambo yake mengine kama wewe unavyopitaga tayari njembe inaanza kuquestion, leo kakutana na rafiki yake wa kike wakaenda soko lingine wakachelewa tayari unachunguza....ukichunguza chunguza utapata pressure bure na ufe mapema.

My Take: uwe umeoa/umeolewa ishi wewe kama wewe na uishi na mwenza wako kwa akili kama biblia ilivyosema " na nyinyi waume muishi na wake zenu kwa akiri" na hiyo si kuishi kwa kumchunguza pls pls?
 
Kwanza wanawake wamefanya kama ni mfumo kutoka nje ya ndoa nakufanya waone ni halali yao na sikuhiza utadhani wanamwalimu maana ukiwa naye akipigiwa simu anamjibu mumewe kama yupo karibu na mume kwakuwa naye kapiga simu ili ajue yupo wapi mke wake!kwakuwa nayeye yupo kwenye njia haramu hawezi kudadisi!ukweli mitandao ndo imeharibu kila kitu!
 
lawama za pande moja hapana....hasa kwenye hili suala la uaminifu kwenye ndoa/mahusiano!!
 
Hapa kwenye bold..................watakushtaki wenye mitandao yao!...............kivipi wao wahusike kwenye ukiukwaji wa maadili yako binafsi...............jilaumu wewe kwa kuwa na matumizi mabaya ya mitandao, wacha kuwanukisha shombo wengine!
 
Wewe mchuuze tu huyo mwenzio

aah nilikuwa najaribu uchuuzi wa akili za wabeba magunia ya mkaa na live chicken!! ila najua hadiriki hapo...lol!
 
aah nilikuwa najaribu uchuuzi wa akili za wabeba magunia ya mkaa na live chicken!! ila najua hadiriki hapo...lol!

Boss lakini anajidai kuvunga hapa tu asitengwe na kina Babu DC kaelekea mhongaji mashuhuri huyo. Keshawahi kusema katoa Black Berry ...:]]
 
aah nilikuwa najaribu uchuuzi wa akili za wabeba magunia ya mkaa na live chicken!! ila najua hadiriki hapo...lol!

Gaijin kumbe ni 'kulipuka pamba'na perfume tu ..lol
sina haja ya live chicken lol
 
Boss lakini anajidai kuvunga hapa tu asitengwe na kina Babu DC kaelekea mhongaji mashuhuri huyo. Keshawahi kusema katoa Black Berry ...:]]

aah halafu wewe gee....unapenda tunda gani? Apple au Blackberry...???lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…