Dalili zinaonesha kuwa Simba hawana malengo na Kombe la CAF


Kwa Timi Tulizo Kutana Nazo Hata Ahmed Ally angepewa Timi Angeshinda Mechi zote.
 
Unaita Viongozi wapuuzi na lawama ambazo hazina mpango utadhani Simba SC ni wageni kwenye hii michuano ya CAF.

Mbona mambo ni rahisi tu, Wewe kapinganie ushinde uongozi pale kisha upange hiyo ratiba yako..!

Hata JWANENG GALAX tulidharau Hivi hivi Tukatolewa kwa Mkapa.
 

Usalama upi?, Ukomavu Ni Kuzikabiri Figisu Zozote zinazo kuja Mbele yako na Sio Kukimbia
 
...Simba Tunakosa nini cha kutufanya tufike mapema Angola, tukajiandaa na kuzoea mazingira, kushusha pressure na kupata mashabiki “Wawili watatu” wakutushangilia?
Simba ilienda Niger kucheza na USGN ya akina Victorien Adebayor siku moja kabla ya mechi, na ikapata sare ya 1-1 ugenini, ambayo iliwasaidia kuingia robo fainali. Kumbuka, hiyo ilikuwa ni hatua ya makundi. Usiishi kwa kukariri
 
Mwanamme mzima na ndevu zimekujaa unakuwa mwoga, nyie ndio mnaopigwa na wake zenu!
 
Kuna shabiki,mwanachama na bendera fata upepo

Wewe utakuwa ni bendera fata upepo yaani hauna unalojua zaidi ya kufata upepo unakokwenda

Fungua shule uwe unafundsha watu kulaumu maana una kipaji kikubwa katika hilo.
 
Mnaweza ku mdhihaki na ku mshutumu mnavyo weza ila wekeni akiba ya maneno, Kwenye uongozi wa Simba kunatatizo kubwa ni swala la muda mambo yatafumuka. jamaa aliye leta hii mada hayupo mbali na ukweli.
 
Kuna wengine wanakushutumu apa ata jezi ya simba hawajawai kununua ,alafu hii tabia sijui imetoka wap kuona viongozi wa ktu fulan au taasisi fulan hawakosei sijui tunaamin wao malaika , hivi kunaitaajika macho mangap kujua pale simba hakupo sawa
 
Simba ilienda Niger kucheza na USGN ya akina Victorien Adebayor siku moja kabla ya mechi, na ikapata sare ya 1-1 ugenini, ambayo iliwasaidia kuingia robo fainali. Kumbuka, hiyo ilikuwa ni hatua ya makundi. Usiishi kwa kukariri

Umesahau tulitolewa na Jwaneng Galaxy?

Mgunda Kafikia Airport kaenda Malawi kashinda Utasema Mgunda Ameisaidia Simba Kushinda? Ukocha Ni zaidi ya Ushindi ni Unaijengaje timu katika Kipindi Kigumu?

Premio De Agosto, Amemfunga Red Arrows Nyumbani na Kutinga Hatua Inayo Fuata baada Ua Mechi Ya Kwanza Kutoka Sare Wakiwa Kwao. Utawadharau? Juzi Tarehe 02/10/2022 wameshinda Mechi Ugenini Kwa Goli Moja Utasema Hawako Vizuri kiasi cha kurelax na Kwenda Masaa Kadhaa kabla ya Mechi?
 
Usalama upi?, Ukomavu Ni Kuzikabiri Figisu Zozote zinazo kuja Mbele yako na Sio Kukimbia
We ni mtopolo tu,huna maana yoyote!
Unawezaje kukabili figisu katika nchi nyingine na timu yenyewe ni ya jeshi?
Utaenda na jeshi lako likulinde?
 
Ushasema tetesi uenda zikawa kweli au uongo
 
Juzi Tarehe 02/10/2022 wameshinda Mechi Ugenini Kwa Goli Moja Utasema Hawako Vizuri kiasi cha kurelax na Kwenda Masaa Kadhaa kabla ya Mechi?
Wameishinda timu ya mwisho katika ligi, na pia tarehe 28/09/2022 walitoa sare nyumbani kwao
 
Kwa Timi Tulizo Kutana Nazo Hata Ahmed Ally angepewa Timi Angeshinda Mechi zote.
Kwa hiyo tuutunze huu uzi wako, kuwa Simba itapoteza mechi kwa kuwa inakutana na timu kali kuliko hizo tulizokutana nazo, na pia imechelewa kufika Angola, au sio katibu?
 
Mi naomba wanasimba wenzangu kabla ya kupandisha nyuzi ya kusema uongozi na klabu kwa ujumla hebu pitia pitia tips mbali mbali mtandoni hata official pages za klabu ili ujidhihirishe unachotaka kuandika
Uongozi mpaka umeamua kusafiri tarehe 8 na kucheza 9 walishafanya analysis mbali mbali mpaka wamefikia uamuzi huo
SIMBA NGUVU MOJA
 
Simba anashinda au sare hapo angola, punguza mbambamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…