Dalili zinazofanana na za ukimwi.

Dalili zinazofanana na za ukimwi.

Huyo atakuwa nao.....
Badilisha tu hospital utaona majibu ya kweli
 
Nmepima hospitalin kilichopatikana vidonda vya tumbo, amoeba na minyoo ila kwenye vipimo vya computer ndo nkaambiwa et damu yangu imechafuka nikapewa dawa sikupata nafuu toka mwez wa nane mwaka jan mpk xaiv ndo hali inazd kuwa mbaya
Na ukumbuke kutumia kondom
.. maana ungekuwa unatumia kondom usinge kuja humu
 
Ajitahidi sana lishe,mbogamboga ,matunda etc.

Ukimwi hauna dalili specific kwasababu sio ugonjwa bali ni hali ya kupungukiwa na kinga mwilini na hakuna kitu kinaongeza kinga ya mwili kama chakula,
pia inawezekana ukimwi wake uko mawazoni zaidi ya uhalisia
 
Ukimwi siyo ugonjwa, in upungufu was kings mwilini
Unapokuwa na ukimwi unakuwa na uwezekano mkubwa wa kushambuliwa na magonjwa mengine. Magonjwa hayo yalikuwpo hata kabla ya ukimwi.
Kapime magonjwa utakayoshauriwa na Dr.
 
Ukitoa neno ukimwi ktk orodha ya magonjwa ulioweka hapo juu, hayo magonjwa mengine uliotaja ndo yanakushambulia kwa pamoja na kuleta ukosefu wa kinga mwilini!
Sijui kama umemuelewa mleta mada,alitaka vitu specific kwa ukimwi tu nafikiri,ndiyo sababu nimemjibu hivyo.
 
Ajitahidi sana lishe,mbogamboga ,matunda etc.

Ukimwi hauna dalili specific kwasababu sio ugonjwa bali ni hali ya kupungukiwa na kinga mwilini na hakuna kitu kinaongeza kinga ya mwili kama chakula,
pia inawezekana ukimwi wake uko mawazoni zaidi ya uhalisia
Sijakuewelewa mkuu unachomaanisha upo mawazoni kivipi nifafanulie kidogo nipate kuewelewa
 
Ukimwi siyo ugonjwa, in upungufu was kings mwilini
Unapokuwa na ukimwi unakuwa na uwezekano mkubwa wa kushambuliwa na magonjwa mengine. Magonjwa hayo yalikuwpo hata kabla ya ukimwi.
Kapime magonjwa utakayoshauriwa na Dr.
Asanteh kwa ushauri wako nitajaribu kuyafanyia kaz mkuu
 
Sio vizur kujibu hivi, mnakatisha tamaa wagonjwa, assume ndio ww, ujibiwe hivo...sio vema ,wagonjwa wanahitaji

Hope

Encouragement
Mkuu tonatofautiana humu ndani na kauli km izo ni za kawaida make kafikria ivo yy
 
Sijakuewelewa mkuu unachomaanisha upo mawazoni kivipi nifafanulie kidogo nipate kuewelewa
it is in his/her head.

Yaani ubongo umekubaliana na mawazo kuwa ana ukimwi,wakati hanao
 
UKIMWI unao na ndio maana unaumwaumwa!tumia dawa za kuimarisha kinga yako!
chakula bora ndiyo dawa!

KINGA ZAKO ZIMEPUNGUA MKUU but hauna HIV!huyu kirusi ni fojale, hayupo!
 
Kwani kuna MTU uli-ngono-ka naye na baadae ukagundua ameathirika na HIV+..?
Mkuu kama ana viashiria ambavyo huenda alivifanya na mwanamke ambaye ana ngoma,mfano alikula denda au alimnyonya matiti mchepuko wake ambaye alizaa miaka 3 iliyopita na ana ngoma......mwambie akachukue PEP mara moja kwani ile inachelewa kuonesha dalili na itamsaidia pia
 
UKIMWI unao na ndio maana unaumwaumwa!tumia dawa za kuimarisha kinga yako!
chakula bora ndiyo dawa!

KINGA ZAKO ZIMEPUNGUA MKUU but hauna HIV!huyu kirusi ni fojale, hayupo!
Unamaanisha kinga mwili imepubgua? Sawa nitajarbu kufanya ivo mkuu.
 
Nmepima hospitalin kilichopatikana vidonda vya tumbo, amoeba na minyoo ila kwenye vipimo vya computer ndo nkaambiwa et damu yangu imechafuka nikapewa dawa sikupata nafuu toka mwez wa nane mwaka jan mpk xaiv ndo hali inazd kuwa mbaya
Mkuu huwenda yana kusumbua hayo magonjwa kwakua hukuyapatia tiba badala yake ukapewa dawa za kusafisha damu.
NAKUSHAURI
Nenda hospitali kubwa ukapime vidonda vya tumbo,tb na hayo ma amoeba kisha baadavya majibu utapewa dawa sahihi.
na ukipenda baada ya majibu tupe mrejesho
 
Nashukuru mkuu nmekuja take vyema nitalifanyia kazi na mungu akubariki!!!
 
Back
Top Bottom