Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Na ukumbuke kutumia kondomNmepima hospitalin kilichopatikana vidonda vya tumbo, amoeba na minyoo ila kwenye vipimo vya computer ndo nkaambiwa et damu yangu imechafuka nikapewa dawa sikupata nafuu toka mwez wa nane mwaka jan mpk xaiv ndo hali inazd kuwa mbaya
Sio vizur kujibu hivi, mnakatisha tamaa wagonjwa, assume ndio ww, ujibiwe hivo...sio vema ,wagonjwa wanahitajiHuyo atakuwa nao.....
Badilisha tu hospital utaona majibu ya kweli
Sijui kama umemuelewa mleta mada,alitaka vitu specific kwa ukimwi tu nafikiri,ndiyo sababu nimemjibu hivyo.Ukitoa neno ukimwi ktk orodha ya magonjwa ulioweka hapo juu, hayo magonjwa mengine uliotaja ndo yanakushambulia kwa pamoja na kuleta ukosefu wa kinga mwilini!
Nimemuelewa na wala sijakukosoa, usiogope, nimeona ulichoandika kimeendana na ukweli mi nikaweka na mengine!Sijui kama umemuelewa mleta mada,alitaka vitu specific kwa ukimwi tu nafikiri,ndiyo sababu nimemjibu hivyo.
Sijakuewelewa mkuu unachomaanisha upo mawazoni kivipi nifafanulie kidogo nipate kuewelewaAjitahidi sana lishe,mbogamboga ,matunda etc.
Ukimwi hauna dalili specific kwasababu sio ugonjwa bali ni hali ya kupungukiwa na kinga mwilini na hakuna kitu kinaongeza kinga ya mwili kama chakula,
pia inawezekana ukimwi wake uko mawazoni zaidi ya uhalisia
Asanteh kwa ushauri wako nitajaribu kuyafanyia kaz mkuuUkimwi siyo ugonjwa, in upungufu was kings mwilini
Unapokuwa na ukimwi unakuwa na uwezekano mkubwa wa kushambuliwa na magonjwa mengine. Magonjwa hayo yalikuwpo hata kabla ya ukimwi.
Kapime magonjwa utakayoshauriwa na Dr.
it is in his/her head.Sijakuewelewa mkuu unachomaanisha upo mawazoni kivipi nifafanulie kidogo nipate kuewelewa
it is in his/her head.Sijakuewelewa mkuu unachomaanisha upo mawazoni kivipi nifafanulie kidogo nipate kuewelewa
Mkuu kama ana viashiria ambavyo huenda alivifanya na mwanamke ambaye ana ngoma,mfano alikula denda au alimnyonya matiti mchepuko wake ambaye alizaa miaka 3 iliyopita na ana ngoma......mwambie akachukue PEP mara moja kwani ile inachelewa kuonesha dalili na itamsaidia piaKwani kuna MTU uli-ngono-ka naye na baadae ukagundua ameathirika na HIV+..?
Mkuu huwenda yana kusumbua hayo magonjwa kwakua hukuyapatia tiba badala yake ukapewa dawa za kusafisha damu.Nmepima hospitalin kilichopatikana vidonda vya tumbo, amoeba na minyoo ila kwenye vipimo vya computer ndo nkaambiwa et damu yangu imechafuka nikapewa dawa sikupata nafuu toka mwez wa nane mwaka jan mpk xaiv ndo hali inazd kuwa mbaya
Nashukuru mkuu nmekuja take vyema nitalifanyia kazi na mungu akubariki!!!Mkuu huwenda yana kusumbua hayo magonjwa kwakua hukuyapatia tiba badala yake ukapewa dawa za kusafisha damu.
NAKUSHAURI
Nenda hospitali kubwa ukapime vidonda vya tumbo,tb na hayo ma amoeba kisha baadavya majibu utapewa dawa sahihi.
na ukipenda baada ya majibu tupe mrejesho