Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Aina mpya ya virusi vya corona vya Omicron vinaenea kwa kasi duniani kote. Je, ni dalili gani watu wakipata wanapaswa kuchukua hatua?
Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema watu bado wanapaswa kuangalia dalili za kawaida za Covid:
Aina mpya ya kikohozi kinachoendelea
homa/joto la juu kupoteza au kubadilika kwa harufu au ladha
Mpaka sasa kwa mujibu wa baadhi ya data za Uingreza, dalili tano za virusi vya corona vya Omicron ni hizi:
Mafua mepesi
kichwa kuuma
uchovu
kupiga chafya
kikohozi
Kama unadhani kuwa una corona, ni muhimu kufanya vipimo.
Muongozo wa Marekani unaangazia dalili zifuatao kujua kama mtu ana uviko:
Homa
Kikohozi
Kupumua kwa shida
Kuhisi uchovu
Maumivu ya mwili na misuli
Maumivu ya kichwa
Kupoteza ladha au kubadilika kwa harufu
Koo kuwasha
Mafua
Kutapika
Kuharisha