Dalíli zote zinaonyesha Mbowe anaipeleka CHADEMA ahera

Dalíli zote zinaonyesha Mbowe anaipeleka CHADEMA ahera

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Yes, watu mmejificha nyuma ya maridhiano. Ila ukweli ni kwamba kuna maslahi binafsi ya Mbowe na CCM....

Chadema wanamchukia Magufuli kisa kuwanyima ulaji na ubunge. Lakini será Za ufisadi Za Chadema kipindi hicho alizisimamia kwelikweli.

Chadema na Mbowe ni wabinafsi sasa hawamtetei tena mwananchi, ufisadi, gharama za maisha siyo ajenda tena.

Kuna uwezekano Chadema wakavurugana na Mwenyekiti wao mbeleni Kwa kuikingia CCM kifua.

Agenda za Chadema SASA hivi ni mbili tu....yaani

1. Tumeongea na mama tufanye siasa za kistarabu.

2. Miaka 7 iliyopita tumeteseka sana.

Hakuna agenda nyingine. Hata hili katiba wameshaanza kusahau.

Mbowe kashazeeka. Yuko kimaslahi Zaidi tusitegemee lolote.

That is why watu wengi SASA hivi hawana munkari na Chadema kama zamani, wameshastuka.
 
Bora chaema ife kuliko kumkata mishikaki tundu lisu kwa lisasi,

Bora chadema ife kuliko sabaya kuwashindilia binadam misumali

Bora chadema ife kuliko vibaraka wa ccm kujimilikisha nchi.

Bora cdm ife kuliko viroba vikiwa na stake kuokotwa bichi.
 
CCM hawawezi kushindwa kwenye box la kura hata siku moja never hata chadema wake na ajenda ya vitu kupanda bei na kukemea ufisadi bado mambo yatabaki vile vile hayo mambo mbona yashafanyika Sana hakuna bila matokeo
 
Yes, watu mmejificha nyuma ya maridhiano. Ila ukweli ni Mwamba kuna maslahi binafsi ya Mbowe na CCM...
ulitaka afanyeje? Huyu mungu wako jiwe kaacha kaizika chadema leo m samia kaifufua ulika wasimpe hata shukulani? Subiri uone CHADEMA watakavio zoa viti kuanzia serikali za mitaa madiwani hata ubunge wewe uwezi kuwazidi akili cdm hata siku 1
 
ulitaka afanyeje?huyu mungu wako jiwe kaacha kaizika chadema leo mm samia kaifufua ulika wasimpe hata shukulani?subili uone cdm watakavio zoa viti kuanzia serikali za mitaa madiwani hata ubunge wewe uwezi kuwazidi akili cdm hata siku 1
Sasa kama hata kuandika ni shida sifikirii kama una uwezo pia wa kuchambua mambo kiundani.
 
CCM hawawezi kushindwa kwenye box la kura hata siku moja never hata chadema wake na ajenda ya vitu kupanda bei na kukemea ufisadi bado mambo yatabaki vile vile hayo mambo mbona yashafanyika Sana hakuna bila matokeo
Na CCM wakisikia hivi wanakenua meno yote 32 nje.wanajua ulaji ni wa uhakika watu tumeshajikatia tamaa
 
Sasa kama hata kuandika ni shida sifikirii kama una uwezo pia wa kuchambua mambo kiundani.
lakini nilicho kusudia umekifahamu hata ujitoe ufahamu lakini umenielewa
 
We ni mhafidhina wa CHADEMA? Sasa kama hawana ni ya kuongoza dola kwa kuwa mama yupo ni bora tu chama hicho kife kifo kilani ili kiibuke chama kingine kipya chenye nia ya kuongoza dola
 
Mbowe Kama kawaida yake KUUZA MISUKULE.

Anaigeuza geuza na KUIUZA ANAVYOTAKA.

Kazi ya MISUKULE imebaki kuimba tu Mwamba Tuvushe, Mwamba Tuvushe 😃😃

Dunia hii, ukiwa na kichwa Kama dispenser ya KUTUNZIA MATE UTATUMIKA MNOOO
 
Kwa hali ya kisiasa alivyoi modify mama, nashauri vyama vyote kuanzia chama chake kinachotawala na vyama vyote vya upinzani wamuachie mama amalize muhula wake wa pili bila kupingwa. Halafu mama awaletee katiba mpya akishamaliza mihula yake. Huko kwenye ubunge wakapambane mwenye kupata apate. Nchi itakuwa mpya na itaingia kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 ikiwa na katiba mpya. Siasa za maridhiano alizoziasisi mama ziendelee.
 
Tumewastukia.

Kama chama kikifa si ndio vizuri mtawale milele.

Huu ni wkt wa siasa za kistaarabu mnaotaka siasa za majambia nendeni goma mkapambane na M-23[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom