Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii,
Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya kabisa simuelewi mwenzangu kama ndo ameshanichoka, anapretend au natingishiwa kiberiti. Niorodhesheeni dalili zote za mwanamke aliyemchukoka mumewe hapa tafadhalini, nisije nikageuka kuwa chizi hivi hivi.
dalili ya kwanza kabisa utalijua buzi lake, either kwa kulisikia au hata kuliona, then kuanzia hapo we mwenyewe utajiju
Duh! Ikishafika hiyo hatua... mmh! kwa kweli; hiyo ni "point of no return"...
Usiombe!
Uliza wenzio..uta return tu..Kuna wenzio hulia na kupiga magoti ati.
Mamsap anamwambia Bwan Fulani sikutaki tena nimekuchoka naanza mbele..utashuhudia kilio hapo..hutaamini mzee mzima analia kama mtoto mdogo. Tema mate chini.
Kwanza atakuletea mapozi kwenye suala zima la unyumba-visingizio vitakuwa kibao ili mradi tu usimduu.Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii,
Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya kabisa simuelewi mwenzangu kama ndo ameshanichoka, anapretend au natingishiwa kiberiti. Niorodhesheeni dalili zote za mwanamke aliyemchukoka mumewe hapa tafadhalini, nisije nikageuka kuwa chizi hivi hivi.
Naona nimepata kadalili kamoja kanalingana na ka kwangu...kwa maana hio mwanamke kumbe anapoleta mapoz kwenye ku do hiyo ni signal mojawapo! Lakini wa kwangu yeye tuna do ila siku hizi kaleta kamchezo ka kudo na condom! madai yake eti alifanyiwa operation, na sasa zimeshapita wiki sita...anaogopa kupata mimba. Nilimwambia nitamwaga njee kakataa kabisa. Ila na hisi ni kwa sababu hapo awali kabla ya hiyo operation, alinibambaga nimemtumia my small house a romantic greeting card ya easter! Sasa sijui ndo maana kabadilika namna hii au vipi. Sijui hata nianzie wapi na hisi kuchanganyikiwa lanyeeee.
Usiombe!
Uliza wenzio..uta return tu..Kuna wenzio hulia na kupiga magoti ati.
Mamsap anamwambia Bwan Fulani sikutaki tena nimekuchoka naanza mbele..utashuhudia kilio hapo..hutaamini mzee mzima analia kama mtoto mdogo. Tema mate chini.
Duh! Ikishafika hiyo hatua... mmh! kwa kweli; hiyo ni "point of no return"...
jibu kumbe unalo...bado ameresent....
duh mpe pole sana,usipojitahidi hiii ndoa itakufa