inaonekana alivyofumwa na mkadi wako huo inaonekana mwenzako amekwazika sana na amepoteza sana imani na wewe,pia wewe inaonyesha ukuonyesha kutubu na kujutia makosa ndio maana imani imepotea, hiyo ya kutumia condom ujue ni kwamba anaogopa utamwambukiza UKIMWI uliotoka nao kwa ki small house
Kama kweli mkeo ni mwenye msimamo ujue kuwa itafika kipindi kama hutajirekebisha ataondoka na mtaachana
Nini cha kufanya:
1. Mtoe mkeo out kisha umwombe msamaha na ujutie kosa lako ki ukweli
2. Nenda nae ukapime ngoma ili arudishe imani juu ya tendo la ndoa na wewe
3. Achana kabisa na hiyo small house itakuletea matatizo makubwa provided imeshajulikana
4. Jitahidi kuwa karibu sana na mkeo kipindi hiki.
5. Ikitokea umechelewa kurudi kutoka job mpe taarifa mapema kwani hana tena imani na wewe
6. Mtoke wote kipindi cha weekend na sehemu ulizozoea kwenda peke yako uende nae
7. Mrudie Muumba wako muanze taratibu za kwenda kwenye ibada pamoja
8. Usiwe unaficha ficha simu yako mwachie uhuru awe anaitazama ( huko under probation muda wowote ndoa inaweza vunjika)
9. Kuwa mpole kipindi hiki na jaribu kumwelewesha kwa upole akikuuliza kitu
10. Usitafute kujua kama mkeo kakuchoka, jibu ni kwamba hana imani na wewe anajuta kuolewa na wewe na kama ukiona matatizo yamezidi nendeni kwa wataalam wa saikolojia wanaweza kuwasaidia
Kama utafuata hizo kanuni zote hapo juu nakuhakikishia ndoa/uhusiano wako utarudi kwenye mstari, halafu wewe nawe wa wapi mpk uanze kutuma makadi kwa mademu wa nje, huu ni mwiko kabisa kwa wataalam, achana na kukaa na evidences kama unatoka nje inakuwaje mpk mkeo akushike na kadi lol. Halafu ukishaoa unatakiwa kuwa mwangalifu kama kupiga unapiga ila sio unakolea mpk unapeleka kadi mtu wangu sio kabisa
kuwa mjanja ukichapa demu baadae unamkimbia sio unaweka kambi kabisa wakati una mke, na kama ukiona anakuganda sana unamtoa nduki, usijenge imani na demu wakati anajua kabisa kuwa una wako halafu yeye anakukubali na ww unakolea kosa kubwa sana, kaa na wenzako wakufunze sio unakurupuka tu ndoa itakushinda
Duh nimeongea sana, samahani kama nimemkwaza mtu