Dallas: Wolper please turudiane tu

Dallas: Wolper please turudiane tu

Mmh!! Shoga yako mama ubaya anayaweza kweli, we mtu upewe vichambo vyote vile tena hadharani na kukana kakana juu kuwa haoi sasa ivi mtu bado tu anataka ndoa, mmh nasikia kaambiwa ataolewa aoon uwanja wa taifa, sema ndomo namkubali sana anajua kuuchezea ubongo wa wema na kumkuta kwa kwel

Mi siku hiyooo sijuiii wallah
 
Hawa ndio wanawapaga viburi madem wacha akalie bechi mpaka apate akili shenzi type.

Dallas kakojoa hatari. .Dar es salaam hajawahi kutokea mshamba wa demu kama dallas!lile ndinga alihonga hata uvungu wa wolper haujui. ..nyumba alishindwa kuimalizia kwa pesa yake ndo anaimalizia kwa pesa ya babake ya kuuza viwanja. ....hii Dar es salaam ina wenyewe!wale ndugu zetu waliotoka marekani mmoja harusi katika helicopter habari zao nao ukingoni
 
Dallas ni ----- moja anaishi ununio alikamata mpunga wa sembe takriban sh mil 700 akajiita rais wa ununio na akaamua ku spend na wolper saiv kachoka kachakaa juzi nimemuona kavamia ugali wa watu wolper atamsikia tu labda akamate tena mpunga ila bahati haiji mara 2

Hali yake mbaya sana!pesa yote ile kajenga ile nyumba ununio ambayo haijaisha. ..sijui kwanini hawajifunzi kwa jack pemba au kajumulo. ..hii Dar es salaam inataka ubishi kama wa kina ndama
 
Huyu Richard Mziray nasikia lile gorofa alilopanga Mbezi beach karudisha amehamia mwananyamara na anauza bar, hebu tupe info. Na yule Cynthia lazima achezee boro la wakarimu wa Dar.
 
Huyu Richard Mziray nasikia lile gorofa alilopanga Mbezi beach karudisha amehamia mwananyamara na anauza bar, hebu tupe info. Na yule Cynthia lazima achezee boro la wakarimu wa Dar.

Tena hao wakome kabisaa huyo Cynthia aje awe housegirl wangu tu hana jipyaq
 
[QU OTE=warumi;10406359]Ahahaahah!! Binamu na wewe unampenda odama kiama, sema anaonekana mtamu kweli yule[/QUOTE]

Hii mara ya pili nasikia Yule Mtoto Odama Kuwa ana uchi mzuri kweli
 
[QU OTE=warumi;10406359]Ahahaahah!! Binamu na wewe unampenda odama kiama, sema anaonekana mtamu kweli yule

Hii mara ya pili nasikia Yule Mtoto Odama Kuwa ana uchi mzuri kweli[/QUOTE]

Ila sasa hivi kashatotoa....
 
Anakumbuka shuka shuka kushakucha? hakujua kama yupo wakushika cheo chake? naende uko akachunge mabata.......
 
Huyu Richard Mziray nasikia lile gorofa alilopanga Mbezi beach karudisha amehamia mwananyamara na anauza bar, hebu tupe info. Na yule Cynthia lazima achezee boro la wakarimu wa Dar.

last time kumuona alikuwa bado mbezi ila full stress....kina rich walikuja na pesa ndefu sana na ndo maana ujio wao uliteka jiji kipindi wanabang walifunika mpaka wauza sembe ila kwakuwa password za bongo hawazijui ndo maana wamefika walipofikia
 
Kwani sasa hivi huyo dallas amefilisika?

Sidhani kama wolper atakuja apige mpunga mrefu ka ule aliopiga kwa Dallaz, enzi zile bado ni papaa ya mujini....
 
Dallas ni ----- moja anaishi ununio alikamata mpunga wa sembe takriban sh mil 700 akajiita rais wa ununio na akaamua ku spend na wolper saiv kachoka kachakaa juzi nimemuona kavamia ugali wa watu wolper atamsikia tu labda akamate tena mpunga ila bahati haiji mara 2

Fedha noma yani 700m imekata hivi hivi?
 
Fedha noma yani 700m imekata hivi hivi?

ndo maana yake alikuwa anachezea pesa masela wakiomba laki anatoa laki 2
wolper alimpangia gorofa mbezi beach na uvungu hajaona akamnunulia BMW
saiv hata baiskeli hana ukimuuliza anakuambia usinipangie kutumia hukunisaidia kutafuta

easy come easy go!
 
Hali yake mbaya sana!pesa yote ile kajenga ile nyumba ununio ambayo haijaisha. ..sijui kwanini hawajifunzi kwa jack pemba au kajumulo. ..hii Dar es salaam inataka ubishi kama wa kina ndama

ulimbukeni tu! hata me nilisikia hakuona hata uvungu wa wolper!
 
ndo maana yake alikuwa anachezea pesa masela wakiomba laki anatoa laki 2
wolper alimpangia gorofa mbezi beach na uvungu hajaona akamnunulia BMW
saiv hata baiskeli hana ukimuuliza anakuambia usinipangie kutumia hukunisaidia kutafuta

easy come easy go!
Aiseee yani BMW na uvungu hajaona akati sisi mpaka kutoa android smart mpk tumeona kabatini , jikoni ,stooni nk
 
hilo li wolper ni limalaya hatareeee,linasaga wenzake,na lenyewe linaliwa papuchi,na pia linapumuliwa kisogoni,papuchi yake ni kweli imejaa mautelezi sana,siyo mnato kama ya odama!
Aisee JF kumbe watu mmesha wala ma super star. Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom