Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hawa waliotunga hii sheria ya mambo ya soka kutopeleka mahakamani walifanya makosa sana, manake viongozi wengi wa klabu, pamoja na mashirikisho ya mpira kote duniani wamekua wakifanya mizengwe kwa kuitegemea hii sheria, Naichukia sana hii sheria.
Mbona hukuichukia ilipombana Wambura? Sheria ni msumeno ni kama leo Ccm wanavyotkata viuno kwa kung'ang'ania sheria kandamizi na katiba mbovu ipo siku watatoka madarakani na sheria hizo zitatumika kuwafuta kwenye uso wa dunia.