Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hawa waliotunga hii sheria ya mambo ya soka kutopeleka mahakamani walifanya makosa sana, manake viongozi wengi wa klabu, pamoja na mashirikisho ya mpira kote duniani wamekua wakifanya mizengwe kwa kuitegemea hii sheria, Naichukia sana hii sheria.
kama wamemkana hapo sawa ,ila ninavyojua mimi vilabu vingi ni vigeugeu
sasa wateja si wamemkana
Mimi sio kiongozi wa soka nitafungiwa wapi na kufanya nin?mkuu DEO Kithubutu tu kufanya hivyo, utaenda kuungana na ndumbalo
Ha ha ha.. What goes around comes around.. Leo u r with us.. Kesho kambi imebadilika.. Haya ni matokeo ya uendeshaji wa soka la bongo kwa fitina.. Na kamwe hatutaendelea kwa kuwa sasa soka imekuwa ni mradi wa kuwanufaisha walioko kwenye management ya uongozi wa mpira.. wawe TFF au kwenye vilabu.. Utajiuliza kwa mfano.. Kama Ndumbaro anadai alikuwa anawakilisha vilabu (na nilisoma kwenye magazeti na kusikia redioni vilabu vikipinga kwa nguvu zote makato hayo) kwanini leo vilabu hivyo vimkane badala ya kuungana nae kwenye kupinga kile walichokuwa wamekubaliana..?
Ndumbalo.. Ulitumika kimafia kumng'oa Wambura.. Haikuwa nzuri ile.. Ona sasa na wewe yamekudondokea yale yale..! Pole sana ila kumbuka kila muosha nae ataoshwa tu siku yake ikifika.. Hata kwa maji machafu.. Ataoshwa tuu..:wave:
Kama wale wa zenji wanapiga kelele Kyle kwao wanataka nchi yao,wakienda dim wanaufyata,unadhan kina akilimali watashindwa?sasa kama vilabu vimemkana, inamaanisha vimekubali kukatwa 5%??
Mimi sio kiongozi wa soka nitafungiwa wapi na kufanya nin?
sasa kama vilabu vimemkana, inamaanisha vimekubali kukatwa 5%??
FIFA na wanachama wake ni genge la wahuni,walafi na wala rushwa waliojitengenezea uzio hili waendeleze uozo wao bila kuguswa.