Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
malipo hapahapa duniani!auae kwa panga atakufa kwa panga!
Mimi huwa najiuliza hivi, hawa waliotunga sheria ya mambo ya soka kutopeleka mahamani waliwaza nini!!! au waliweka hii sheria ili waendelee kufanya mizengwe kwenye soka kwa ajili ya maslahi yao??? Hii sheria iangaliwe upya vinginevyo itakuwa inatumiwa vibaya na mashirikisho ya kandanda kote duniani kwa kuitegemea sheria hii.FIFA na wanachama wake ni genge la wahuni,walafi na wala rushwa waliojitengenezea uzio hili waendeleze uozo wao bila kuguswa.
Tumerudi pale pale kwenye migogoro TFF
Mimi huwa najiuliza hivi, hawa waliotunga sheria ya mambo ya soka kutopeleka mahamani waliwaza nini!!! au waliweka hii sheria ili waendelee kufanya mizengwe kwenye soka kwa ajili ya maslahi yao??? Hii sheria iangaliwe upya vinginevyo itakuwa inatumiwa vibaya na mashirikisho ya kandanda kote duniani kwa kuitegemea sheria hii.
I do Concur na uamuzi makini wa kamati ya nidhamu. Huyu wakili ni kiherehere sana,
TFF = Mume
Vilabu = Mke
Ligi=Ndoa
Ndumbaro=Jirani
Kamwe usiingile ugomvi wana ndoa tena ya Kikristo utaumbuka,kaka Ndumbaro kamtetea bibie hapo asidundwe na mumewe aya sasa bibie amemkana anasema yeye AKATWE tu tena mara 5.
Ukistaajabu ya Mzee Thitaaa(6) utayaona ya Ndumbaro.
Mimi huwa najiuliza hivi, hawa waliotunga sheria ya mambo ya soka kutopeleka mahamani waliwaza nini!!! au waliweka hii sheria ili waendelee kufanya mizengwe kwenye soka kwa ajili ya maslahi yao??? Hii sheria iangaliwe upya vinginevyo itakuwa inatumiwa vibaya na mashirikisho ya kandanda kote duniani kwa kuitegemea sheria hii.
Tuitie Jamal Malinzi kula hiyo 5% si haki Ndanda, polisi, jkt hazina udhamini anataka zishuke daraja?
Sema huyu jamaa Ndumbalo aliharibu siku anamuidhinisha okwi kukipiga msimbazi,,, safi sana tff watu kama hawa wafai kushiriki katika soka manake wanapindisha sheria...