Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Mkuu watakuja hapa hao sijui miezi 4 hawajalipwa, hapatatosheka hapaWasomi wetu hawa, hivi anajua kama kuna wachezaji bado wandai pesa zao za usajili? Mishahara hawajalipwa miezi 4 sasa.hata hao wachezaji wazawa watacheza bila kulipwa? Me sishangai,wana siasa hutafuta sifa kwa njia yyte
Ukweli ndo huo...Mkuu watakuja hapa hao sijui miezi 4 hawajalipwa, hapatatosheka hapa
Nani anatakiwa kuwalipa ni mfadhili ama klabu?Ukweli ndo huo...
Mwajiri wa mchezaji ni club,una lingine?Nani anatakiwa kuwalipa ni mfadhili ama klabu?
Club ndo mwajiri suala la mfadhili hutegemea makubaliano kati ya Club na mfadhili husika.Nani anatakiwa kuwalipa ni mfadhili ama klabu?
Jingine ni club itafute wafadhili ama source za mapato iwalipe mishahara wachezaji. Na mikataba yao ipo wazi kama mchezaji hajalipwa ni keamba mkataba umevunjika.Mwajiri wa mchezaji ni club,una lingine?
Kuna wachezaji wanajitambua,pamoja na shida zote wanavumilia ili vipaji vyao visipotee,so! Watacheza kwa kua wana malengo flani,niami mm.Jingine ni club itafute wafadhili ama source za mapato iwalipe mishahara wachezaji. Na mikataba yao ipo wazi kama mchezaji hajalipwa ni keamba mkataba umevunjika.
Sasa hapo kwenye mkataba mwaka mmoja ndo nashangaa, halafu club inataka kufanya vizuri hivi tupo serious au watu wanatupotezea muda tuuKuna wachezaji wanajitambua,pamoja na shida zote wanavumilia ili vipaji vyao visipotee,so! Watacheza kwa kua wana malengo flani,niami mm.
Baada ya league kwisha,kuna wachezaji hawatabaki pale,wachezaji wengi wa majmaji wamesaini kandarasi ya mwaka mmoja.
Ni kwa sbb hawana uhakika wa mishahara, fikiria unasini miaka 2 then mshahara wa kuungaunga.Sasa hapo kwenye mkataba mwaka mmoja ndo nashangaa, halafu club inataka kufanya vizuri hivi tupo serious au watu wanatupotezea muda tuu
Hatari kweli kweliNi kwa sbb hawana uhakika wa mishahara, fikiria unasini miaka 2 then mshahara wa kuungaunga.
Nakumbuka klabu ya villa squad ilikuwa inaweka kambi halafu msosi wanashindia mkate tuNi kwa sbb hawana uhakika wa mishahara, fikiria unasini miaka 2 then mshahara wa kuungaunga.
Karithi kutoka kwa mwenyekiti wake wa mbogamboga..Dr Damas Ndumbaro kusema kweli unaheshimika kwenye jamiina mimi nakuheshimu
1.Wakili Msomi
2.Mwalimu/Senior Lecturer
3.Mh Mbunge
4.Mpenzi wa mpira/simba/Songea
Kwa hili umekosea na umekosea sana TUTAKE RADHI WASOMI kwa maana ya tuiopata muda kusikiliza clip yako hiyo ...UZAWA UNAHARIBU MENGI NDUGU YANGU KURA USHAPATA UBAGUZI WA KULETA UZAWA KWENYE SOKA HATA SIMBA LEO MSINGEFUFUKA NA KUONGOZA LIGI, PIA KUPANDA NDEGE BAADA YA MIONGO KADHAAA.... PLS
Au timu ikishuka daraja?Ni kwa sbb hawana uhakika wa mishahara, fikiria unasini miaka 2 then mshahara wa kuungaunga.
Messi asingeenda Spain. Kwani Simba na yanga zimejaa wazaramo?Damas yupo sahihi tukuze vpaji vya mikoa vijana wanaona wanao pewa kipaumbele wakuja hata kama hawana uwezo kisa majina makubwa mtu kama ngasa sijui anafanya nn Ndanda wanakatishwa tamaa
Dah haya mkuu ndo maoni yako hayoDamas yupo sahihi tukuze vpaji vya mikoa vijana wanaona wanao pewa kipaumbele wakuja hata kama hawana uwezo kisa majina makubwa mtu kama ngasa sijui anafanya nn Ndanda wanakatishwa tamaa