Damas Ndumbaro: Chanzo cha Majimaji kufanya vibaya ni kukosa wachezaji wazalendo (kutoka Ruvuma)

Damas Ndumbaro: Chanzo cha Majimaji kufanya vibaya ni kukosa wachezaji wazalendo (kutoka Ruvuma)

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777

My take: Hivi siasa ina undugu na uongo? Si ni huyu Ndumbaro aliyefungiwa na Malinzi akitetea haki za vilabu kwenye suala la haki za matangazo? Yamemkuta yapi? Au ndo Siasa?

Ndugu yangu Amri Kiemba akashindwa kukaa na duku duku yeye akaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram.

0099b02947c1fd2df4bad48b82136afb.jpg
1b856e359d2c4d398563ab3ebc681d40.jpg

Hapa chini Wachezaji wa Majimaji wakipata Lunch yao, halafu Ndumbaro anatuambia habari za uzalendo.

Dr Damas Ndumbaro kusema kweli unaheshimika kwenye jamiina mimi nakuheshimu
1.Wakili Msomi
2.Mwalimu/Senior Lecturer
3.Mh Mbunge
4.Mpenzi wa mpira/simba/Songea
Kwa hili umekosea na umekosea sana TUTAKE RADHI WASOMI kwa maana ya tuiopata muda kusikiliza clip yako hiyo ...UZAWA UNAHARIBU MENGI NDUGU YANGU KURA USHAPATA UBAGUZI WA KULETA UZAWA KWENYE SOKA HATA SIMBA LEO MSINGEFUFUKA NA KUONGOZA LIGI, PIA KUPANDA NDEGE BAADA YA MIONGO KADHAAA.... PLS
 
Wasomi wetu hawa, hivi anajua kama kuna wachezaji bado wandai pesa zao za usajili? Mishahara hawajalipwa miezi 4 sasa.hata hao wachezaji wazawa watacheza bila kulipwa? Me sishangai,wana siasa hutafuta sifa kwa njia yyte
 
Mkuu watakuja hapa hao sijui miezi 4 hawajalipwa, hapatatosheka hapa
 
Jingine ni club itafute wafadhili ama source za mapato iwalipe mishahara wachezaji. Na mikataba yao ipo wazi kama mchezaji hajalipwa ni keamba mkataba umevunjika.
Kuna wachezaji wanajitambua,pamoja na shida zote wanavumilia ili vipaji vyao visipotee,so! Watacheza kwa kua wana malengo flani,niami mm.
Baada ya league kwisha,kuna wachezaji hawatabaki pale,wachezaji wengi wa majmaji wamesaini kandarasi ya mwaka mmoja.
 
Sasa hapo kwenye mkataba mwaka mmoja ndo nashangaa, halafu club inataka kufanya vizuri hivi tupo serious au watu wanatupotezea muda tuu
 
Damas yupo sahihi tukuze vpaji vya mikoa vijana wanaona wanao pewa kipaumbele wakuja hata kama hawana uwezo kisa majina makubwa mtu kama ngasa sijui anafanya nn Ndanda wanakatishwa tamaa
 
Ni kwa sbb hawana uhakika wa mishahara, fikiria unasini miaka 2 then mshahara wa kuungaunga.
Nakumbuka klabu ya villa squad ilikuwa inaweka kambi halafu msosi wanashindia mkate tu

Stendi walikuwa wanashindia maandazi 3

Igeni mfano kutoka singida utd
 
Dr Damas Ndumbaro kusema kweli unaheshimika kwenye jamiina mimi nakuheshimu
1.Wakili Msomi
2.Mwalimu/Senior Lecturer
3.Mh Mbunge
4.Mpenzi wa mpira/simba/Songea
Kwa hili umekosea na umekosea sana TUTAKE RADHI WASOMI kwa maana ya tuiopata muda kusikiliza clip yako hiyo ...UZAWA UNAHARIBU MENGI NDUGU YANGU KURA USHAPATA UBAGUZI WA KULETA UZAWA KWENYE SOKA HATA SIMBA LEO MSINGEFUFUKA NA KUONGOZA LIGI, PIA KUPANDA NDEGE BAADA YA MIONGO KADHAAA.... PLS
Karithi kutoka kwa mwenyekiti wake wa mbogamboga..
 
Back
Top Bottom