Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Safari hii wote wanasema Allah Akbar sasa sijui Allah atasimama upande gani wa Sunni au wa Shia?! Ngoma mbichi.
Kuna wanafiki ndio watashindwa, tulisha wambia sio kila abaye ana sema Allahu Akbar ni Muislam, hata wewe unatype Allahu Akbar. We si wakanisa la Shetan mlisha muonoa shetani kanisani au bado?
Biblia inasema kiti cha Enzi cha shetani kipo kanisani ( ufunuo 2 - 12 - 13 ) makao makuu ya shetani ni ndani kanisani.
 
Sijui unaongea nini?!
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS wamekaribia kuuteka mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria wa HOMS. Waasi wapo umbali wa Kilometa 5 kutokea katikati mwa mji huo.

Wapiganaji wa Kishia kutoka Iraq na Lebanon wakishirikiana na Wanajeshi wa Syria wamefanikiwa kwa kiasi kuwazuia waasi hao kuuteka mji wa HOMS. Hata hivyo, Mashambulizi ya Anga Makali ya Marekani na Israel dhidi ya Wapiganaji wa Kishia na ngome zao inadhoofisha uwezo wa jeshi la Syria na Washirika wao kupambana na Waasi.
Ndege 3 za Urusi aina ya Mig zimerushiwa Risasi za Onyo na Majeshi ya Uturuki. Urusi imelaani tukio hilo.

Waasi wa HTS wamefanikiwa kuiteka kambi ya jeshi la Syria ya Al-Fahdi iliyokuwa Kilometa 16 kutoka mji wa HOMS. Ndege 2 aina ya Mig zimetekwa na waasi hao zikiwa zimeharibiwa na kutokuweza kutumika.

View: https://youtu.be/BlKGcYu2Oec?si=hAc4JDOE5bCZm4OZ
 
Israel. wakumuamini hahaha alisema Hezbullah kisha ifuta kumbe anapiga civilian tu, hizo ndege huwa hazipigi silaha zinapiga majumba tu.

Daraja kwenye mpaka wa Syria na Lebanon limeshambuliwa na Ndege za Israel ili kukata mawasiliano baina Ayatolah na Hezbola 🤣

It's now or never kwa Wanamgambo wa Kisunni wauzunguke Mji wa Homs wafanye Siege halafu wakaishambulie Damascus.
 
Hizbullah Hawa Hawa waliowatelekeza Hamas kwa kuomba ceasefire? Au unaongelea Hizbullah wa kizimkazi?
Hahaha kwamba wameomba ceasefire sio? Waasi wenyewe walisubiri hezb ipunguzwe nguvu kwani hawawajui? Subiri kazi ya counter offensive ya Wanaume wa hizbollah wajomba Hata wakiwa wawili TU huwa hawarudi nyuma either kifo au wakushinde
 
Ngoja Dubu ajee. The Russian
 
Sio mala y kwanza Israel kubomoa ilo Daraja lkn kila kitu kitakuwa kama kilivo pangwa lkn wejamaaa unaongoza kwa uwongo kwenye UZI uwe na naibu kidogo.
 
We akili zako za kitoto sana we unadhani Hezbullah anatumia barabara za kupita madaraja 😆 😂

Kuna underground zinakwenda mpaa Syria, we baki na ule ujinga eti Israel alishinda vita nchi za kiarabu kwa siku sita. Ikiwa nchi mbili ndio zilipigana mnasema nchi za kiarabu, je zingepigana nchi nne mgesema alipigana na nchi za kiarabu na marafiki zao sijui wakorea au?
 
Mkuu wa Waasi wa Kisunni Kamanda Abu Mohamed Al Jolani kaamua kubadilisha muonekano wake kapunguza kuvaa Vilemba na Kanzu kaamua kuupunguza na Mzuzu kaamua kuvaa kawaida.


Before muonekano wa Kigaidi.

After amepiga Pamba za Kimagharibi na hana muonekano wa kutisha.
 
Oya mbona kama vile unawashwa na comment zangu au unahitaji kukunwa?
See....sheikh wangu ilimu ni muhimu. Zote Duniya na akhera. Ungepata hizo ungegundua hii si lugha mujarab kwa jamii iliyostaarabika. Huwa kamwe hatuongei hivi
 
Ndani 1week uyo utasikia anazikwa. Russai anawazoom kila kitu
 
Assad amekalia kuti kavu ni wakati wa Iran kuwapeleka IRGC huko waokoe jahazi.

T14 Armata
 
Hata mi naona kinachotokea ndio yale yale ya Assad na urusi kutumia
Gas na kuanzisha kuvurumIsha mabom had mji uwe flat

Maana. Jeshi la Serikali Linaachia maeno Kirahs wanarudi nyuma bila
Kutoa upinzani ni kama wameambiwa ondoken tusafishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…