Iran hawezi kabisa kujibu.
Yeyote mwenye akili timamu anajua.
Watu wameingia hadi chumbani kwako bila kizuizi chochote, wakakupiga wakavunja mguu wakaamua kukusamehe na kuondoka, utawafuata kwao?
Halafu ukamsikia baba yao nae anakuambia uache ujinga wa kurusha rusha vikombora nyumbani kwa mwanae, utaendelea kurusha?
Mifumo ya ulinzi ya waajemi iliharibiwa, vifaa vya kutengeneza makombora viliangamizwa, sehemu ya siri ya kurutubisha nyuklia kwny mji wa Parchin iliteketezwa!
Iran ni kama vile alivunjwa miguu, sasa anachechemea.