Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Huyu jamaa Israel wasimuamini sana anaweza kuja kuwasumbua wakaona afadhali ya Assad
Hilo unalo lisema linawezakana sana maana binadamu sio wa kumwamini 100%. Ila kwa muda Israeli atakuwa kapumua kiasi.
Angalia saivi wakichukua madaraka wataanza vurugu na Iran, huku adui mkubwa wa Israeli (Hezbollah) akikosa njia za kupata silaha kutoka kwa sponsor. Naweza sema kuna vita nyingine itatokea Kati ya Hezbollah + Iran na hawa HTS
 
Hizo ndoto za makafiri ambao ni wakristo na wayahudi zitafanikiwa kwa temporary tu sababu Allah anapima iman za waislam. Kule Gaza msahau wale wanaume imani ipo juu, we huoni hakuna silaha haikutumiwa pale lakini wanaume wapo kazini.

We furahi lakini hadithi ya Mtume Muhammad iko wazi tokea zamani, alisema Israel atapigana vita na Lebanon na atafika mpaa Syria, lakini bada ya hapo ndio wakumbuke hivi, Waisrael watajikusanya sehemu moja kùtegemea wana enjoy kumbe ndio mwisho wao
 
Wanajeshi wengi wa Jeshi la Syria waliojisalimisha kwa Waasi wanasema hawajalipwa Mishahara yao kwa muda mrefu na Serikali na kuna malimbikizo mengi.

Makamanda wao walikuwa wakiwaambia kuwa Askari wa Kisyria hawahitajiki sana kwani Russia na Ayatolah ndio walinzi wa Nchi ya Syria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…