Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Huyu jamaa Israel wasimuamini sana anaweza kuja kuwasumbua wakaona afadhali ya Assad
Hilo unalo lisema linawezakana sana maana binadamu sio wa kumwamini 100%. Ila kwa muda Israeli atakuwa kapumua kiasi.
Angalia saivi wakichukua madaraka wataanza vurugu na Iran, huku adui mkubwa wa Israeli (Hezbollah) akikosa njia za kupata silaha kutoka kwa sponsor. Naweza sema kuna vita nyingine itatokea Kati ya Hezbollah + Iran na hawa HTS
 
Mwanangu jews ni nouma. Hapo kaua ndege watatu kwa jiwe moja. hapo mizizi yote ya Iran inaenda kufyekwa. Baada ya hapo wanatumiwa hao hao magaidi kuwamaliza hezbollah then wanahamia hapo Yemen kinanukishwa hivyo hivyo then wanaume wanamalizia hapo Tehran. Nawaonea huruma palestina maana kuwa na nchi yao ndio bye bye. Waarabu wanaingia mkataba na Israel biashara imeisha. Hutaki jinyonge.
Hizo ndoto za makafiri ambao ni wakristo na wayahudi zitafanikiwa kwa temporary tu sababu Allah anapima iman za waislam. Kule Gaza msahau wale wanaume imani ipo juu, we huoni hakuna silaha haikutumiwa pale lakini wanaume wapo kazini.

We furahi lakini hadithi ya Mtume Muhammad iko wazi tokea zamani, alisema Israel atapigana vita na Lebanon na atafika mpaa Syria, lakini bada ya hapo ndio wakumbuke hivi, Waisrael watajikusanya sehemu moja kùtegemea wana enjoy kumbe ndio mwisho wao
 
Wanajeshi wengi wa Jeshi la Syria waliojisalimisha kwa Waasi wanasema hawajalipwa Mishahara yao kwa muda mrefu na Serikali na kuna malimbikizo mengi.

Makamanda wao walikuwa wakiwaambia kuwa Askari wa Kisyria hawahitajiki sana kwani Russia na Ayatolah ndio walinzi wa Nchi ya Syria.
 
Back
Top Bottom