Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Iran wanasemaje huko mugwana wa kishia? Carpet bombing ya russia imefikia wapi huko aleppo? maana tuliambiwa russia hawezi kuwatosa washirika wake kamwe na ana makombora mengi hapa duniani?
Russia kuangalia maslahi yake vivyo hivyo itakua kwa Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…