Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

BREAKING NEWS

Waasi wa HTS wameudhibiti mji wa DEIR ez-ZOR Nchini Syria. Mji huo ndio unabarabara kuu inayotoka mji wa Bandari wa LAITIKIA Kuelekea Miji ya HOMS na DAMASCUS nchini Syria.

Wakati huo huo,Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imewataka raia wake kuondoka nchini Syria kuelekea Uturuki. Wanadiplomasia wa Urusi na Iran wameamriwa kuondoka na nchi zao.
Urusi imeiomba Uturuki kuikubalia kupitisha Meli zake kupitia Mlango wa BOSPHORUS GAP ili Kuziondoa kwenye bandari ya LAITIKIA iliyoko bahari ya Mediterranea kabla haijazingirwa na Waasi hao. Uturuki bado haijatoa majibu.

Wakati huo huo,jeshi la Israel limepeleka vifaru na Askari wa miguu kwenye milima ya Golan ili kuhakikisha Ulinzi wa Ardhi yake hautishiwi na kinachoendelea nchini Syria. Ndege za kivita za Israel zimeanza mashambulizi mjini Damascus kuzilenga ngome za kijeshi za Serikali ya Syria na wanamgambo wa Kishia.
Assad ana hali mbaya.... jahazi linazama.
 
Habari za hivi punde zinadai,Wapiganaji wa HTS ambao wanasadikika kuungwa mkono na nchi ya Uturuki, wameuzingira mji wa nne kwa ukubwa nchini Syria wa HAMA kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Mji huo upo umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa Damascus.

Ikumbukwe kuwa, Wiki iliyopita, Waasi hao walifanya mashambulizi ya kushitukiza na kuuteka mji wa pili kwa ukubwa nchini Syria wa Aleppo.

Jeshi la anga la Syria (SAA) likisaidiwa na ndege za kivita za Urusi zilishambulia mji wa IDLIB ambao ulikuwa ngome kuu ya wapiganaji hao tangu mwaka 2015. Hata hivyo, Mashambulizi hayo yanaonesha kutowarudisha nyuma waasi hao.

Endapo mji wa HAMA utadhibitiwa na waasi hao,Basi watakuwa umbali wa Kilometa 78 kutoka mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria wa HOMS na umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa DAMASCUS.

Hata hivyo,Waziri wa Mambo ya nje wa Iran ameilaani Marekani na Israel kwa kushambulia msafara wa Wapiganaji kutoka Iraq waliokuwa wanakwenda kuisaidia jeshi la Syria kupigana vita vya Ardhini na waasi hao.

Uturuki imeitaarifu Urusi kuacha kutumia ndege zake kuwashambulia Raia lasivyo Uturuki itapeleka Mifumo ya Ulinzi wa Anga Kasikazini mwa Syria ili Kuziangusha ndege za Urusi na Syria ambazo zinafanya mashambulizi hayo.

Source: Aljazeera
: Dw English
Assad & family yake wamekimbia nchi.
Wengine Russia, na wengine Iran.
 
View attachment 3170591
Daraja kwenye mpaka wa Syria na Lebanon limeshambuliwa na Ndege za Israel ili kukata mawasiliano baina Ayatolah na Hezbola 🤣

It's now or never kwa Wanamgambo wa Kisunni wauzunguke Mji wa Homs wafanye Siege halafu wakaishambulie Damascus.
Yaani hapa ndio silaha zisipite 😂 😂 😂
 
Mbona sasa Uturuki iliingia makubaliano ya joint patrol na Uturuki?

Uturuki iliua rubani wa Urusi kwa kudungua ndege ya Urusi. Uturuki ikapigana na Wakurdi hadi ndani ya Syria kule Kaskazini. Syria ikaishambulia Uturuki nayo ikashambulia jeshi l Syria na kuharibu silaha za Kirusi. Ndio ulikuwa mwanzo wa dronea za Bayraktar TB2 kujulikana makali yake. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Syria ilipigwa.

Kisha baadae likafanyika shambulizi dhidi ya majeshi ya Uturuki. Ile ilikuwa ni piga nikupige sio eti Uturuki ni mnyonge mbele ya Urusi.
Hapa kwa makali ya drone umetupiga kamba zile drone dhaifu sijapata ona ndio maana hata Ukraine kazikimbia
 
Vitabu mara nyingi ni Biashara mtu anaweza asitengeneze Soft Copy lakini hoja ya Sunni Shia imefafanuliwa vizuri Mitandaoni.
Ila huko mitandaoni ndio sio biashara za watu 😂 😂 😂
 
We unajua ni muongo sana kazi kutuletea fake news. Eti Israel kubomoa daraja hahaha, Hezbullah wame Cross border Israel huwa hana uwezo wa kuwaona

Wazee wa kazi wamewafata vifaranga wa US na Israel kuwatia adabu. Hezbullah wameisha fika Homs
View: https://youtu.be/-Rw315lyIyY?si=r9vk1laz1lqQiWFZ

Tena hizi Silaha Israel Ndio anataka azione uwanjani... Zikingia Syria tu anaanza kusambaza vipeperushi...

Ila msijali sana Hawa kobazi wengine (Wasunni) kama wengi wenu humu mlivyo soon mtakuwa maadui wa Israel, Hezbollah atakuwa rafiki wa Israel
 
Sema Kobazi baba, badala ya kuangalia tofauti zao wanaanza kulaumu Israel.

Assad anagesikiliza wananchi wake wasingefika huku
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS wameuteka mji wa DARAA umbali wa kilometa 1 kutoka jiji la HOMS.Msururu wa Magari ya kivita ya jeshi la Syria yakiwa yamebebwa kwenye Malori imeonekana ukirudi nyuma kuelekea mji mkuu wa Damascus. Hii ni baada ya Mapigano ya Ndege zisizo na Rubani(Drones) kuripotiwa mji wa Damascus.

RIpoti zinadai kwamba,jeshi la Syria limekataa ujio wa wanajeshi 8,000 wa IRGC baada ya Israel kuionya Syria kwamba,endapo wanajeshi wa Iran wataingia Damascus,basi Israel itatuma vikosi vyake vya Ardhini kuelekea Damascus.

View: https://youtu.be/YNb7El6Pa3k?si=koB81o8PTlNz24Bl
 
Hivi nikwamba jeshi la Syria limegoma kupigana na kuamua kujisalimisha au wamezidiwa kwenye uwanja wa vita, inakuaje waasi wanateka miji ndani ya muda mfupi kiasi hiki
 
Inashangaza wale waliokuwa wana support maneno ya Israel kuwa inaua magaidi Hamas na Hezbollah ndio hao leo wana support magaidi.
Wakristo ni kama inavyo sema bibilia yao kwenye ufunuo 2 - 12 - 13 makao makuu ya shetani ni ndani ya kanisani. Mkristo ni mfuasi wa shetani we huoni leo wanampa support aliye kuwa wanajidai adui yao yule Mohamed Al Golan huyu alikuwa kiongozi kwenye group la Al Qaeda na USA anajidai ni magaidi kumbe watu wake 🤣
 
Mwanangu jews ni nouma. Hapo kaua ndege watatu kwa jiwe moja. hapo mizizi yote ya Iran inaenda kufyekwa. Baada ya hapo wanatumiwa hao hao magaidi kuwamaliza hezbollah then wanahamia hapo Yemen kinanukishwa hivyo hivyo then wanaume wanamalizia hapo Tehran. Nawaonea huruma palestina maana kuwa na nchi yao ndio bye bye. Waarabu wanaingia mkataba na Israel biashara imeisha. Hutaki jinyonge.
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS wameuteka mji wa SWEIDA ambao upo umbali wa viunga vya jiji la HOMS. Ni baada ya wanajeshi wa Syria kuacha ngome zao na kukimbia mapigano.

Taarifa zinasema kwamba,Mke wa rais wa Syria ambaye ni Mzaliwa wa Uingereza akiwa pamoja na wanawe 3 ameikimbia Syria na kuelekea nchini Urusi.
Pia,Shemezi zake 3 wa Rais huyo wameitoroka nchi na kuelekea nchini Misri. Jeshi la Urusi limetoa taarifa likisema halina mpango wa kutoa msaada wa kijeshi kwa Asad. Hii ni baada ya Russia kukasirishwa na kitendo cha wanajeshi wa Syria kukimbia uwanja wa mapambano.

Nchi nyingi washirika wa Syria wamemsihi rais Bashar Al Asad aikimbie nchi kabla ya mji wa Damascus kutekwa na waasi hao. Hata hivyo,Rais wa Syria hajaonesha nia ya kuikimbia nchi yake mpaka sasa.
 
Iran inachelewa kuchukua hatua kuwapeleka "Iran revolutionary guards" au imeamua kumtosa Assad ?
Sio Iran wanachelewa Assad ndio anahofia Iran wakitia timu na Israel ataingia hivyo battle itakua kubwa zaidi
 
Tena hizi Silaha Israel Ndio anataka azione uwanjani... Zikingia Syria tu anaanza kusambaza vipeperushi...

Ila msijali sana Hawa kobazi wengine (Wasunni) kama wengi wenu humu mlivyo soon mtakuwa maadui wa Israel, Hezbollah atakuwa rafiki wa Israel
Hakuna muislam mwenye akili anaweza kua rafiki na Israel hii iliyopo sasa
 
Mwanangu jews ni nouma. Hapo kaua ndege watatu kwa jiwe moja. hapo mizizi yote ya Iran inaenda kufyekwa. Baada ya hapo wanatumiwa hao hao magaidi kuwamaliza hezbollah then wanahamia hapo Yemen kinanukishwa hivyo hivyo then wanaume wanamalizia hapo Tehran. Nawaonea huruma palestina maana kuwa na nchi yao ndio bye bye. Waarabu wanaingia mkataba na Israel biashara imeisha. Hutaki jinyonge.
Nyie pangeni yenu mwarabu haaminiki anaweza kubadilika muda wowote akakichafua na Israel
 
Iwapo waasi watauteka mji huo wa Homs, itamaanisha kuwa Assad hatokuwa tena na udhibiti katika eneo la pwani ya bahari ya Mediterania, ambalo ni ngome muhimu ya ukoo wake ulioitawala Syria kwa miongo mitano iliyopita. Mkuu wa kundi hilo la waasi amesema wanalenga kusonga mbele hadi mji mkuu Damascus na kuuangusha utawala wa Assad.
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS wameuteka mji wa DARAA umbali wa kilometa 1 kutoka jiji la HOMS.Msururu wa Magari ya kivita ya jeshi la Syria yakiwa yamebebwa kwenye Malori imeonekana ukirudi nyuma kuelekea mji mkuu wa Damascus. Hii ni baada ya Mapigano ya Ndege zisizo na Rubani(Drones) kuripotiwa mji wa Damascus.

RIpoti zinadai kwamba,jeshi la Syria limekataa ujio wa wanajeshi 8,000 wa IRGC baada ya Israel kuionya Syria kwamba,endapo wanajeshi wa Iran wataingia Damascus,basi Israel itatuma vikosi vyake vya Ardhini kuelekea Damascus.

View: https://youtu.be/YNb7El6Pa3k?si=koB81o8PTlNz24Bl

Uwongo umekuwa kama upele sasa umepata mkunaji vihabari ata vijalida utaona Breaking News mijibu miongo miongo tangia vile Vita vya Ukraine ulishajivua nguo zote ukabaki chiu sasa umeamia Syria nani atakwamini na vihabari vyako uyu Mwingine eti Israel imeiyonya Syria isipokee msaada w Iran au IDF itavamia Syria IDF ipi iyo hii iliokimbia kusin mwa Labanon ipo hoi bin taaaban au IDF y Congo!!!!! Mbona mnataka kuwapa ushindi Waasi kipropaganda kupitia JF kazi imeanza uko uwanja w vita adi kesho asubui tuwaone umu mtuambie Waasi wamefika wapi tayali wapo Damascus au awajukikani walipo. Chezea Russia ww mliongea kila neno vita ile ya Ukraine mmebaki na aibu sasa mnaenda aibika tena.
 
Back
Top Bottom