Damu chapa chapa!!

Mama wa taifa jipya,picha hii ni alama ya mwanzo wa safari ya ukombozi wa kweli wa wa-TZ.Damu iliyomwagika hakika haitapotea bure!Pole mama
 
kiheduhedu tu, u first lady si mchezo, chezea kikwete weye:shut-mouth:
 
Sio Mke huyo bado hajakwenda kwa kanisa kufunga ...........
 
Bontowar,tumia akili japo kidogo,tafsiri za mke zipo nyingi sio lazima kanisani kuna ndoa za bomani,na kisheria ukiwa na mke/mme chini ya paa moja for over six month iwe umeenda kanisani au msikitini au omani tayari ni ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…