Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu.
Ni ubatili.
Ni ukatili,
Ni unyama,
Ni ujambazi.
Ni udikteta.
Ni dhuluma
Ni mauajai,
Ni unyang'anyi.
Je, Samuya atatawalal damu?
Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha?
Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na kukubali yaishe?
Siyo suala la utabiri.
Naona damu.
Nanusa damu.
Ni damu damu damu hadi haki itendeke.