Damu Group O positive

Damu Group O positive

&[HASHTAG]#128137[/HASHTAG];BLOOD GROUP COMPATIBILITY &[HASHTAG]#128137[/HASHTAG];

What?s Your Type and how common is it?

O+ 1 in 3 37.4%
(Most common)

A+ 1 in 3 35.7%

B+ 1 in 12 8.5%

AB+ 1 in 29 3.4%

O- 1 in 15 6.6%

A- 1 in 16 6.3%

B- 1 in 67 1.5%

AB- 1 in 167 .6%
(Rarest)

Compatible Blood Types

O- can receive O-

O+ can receive O+, O-

A- can receive A-, O-

A+ can receive A+, A-, O+, O-

B- can receive B-, O-

B+ can receive B+, B-, O+, O-

AB- can receive AB-, B-, A-, O-

AB+ can receive AB+, AB-, B+, B-, A+, A-, O+, O-

This is an important msg which can save a life! ..
: Your Blood group also speaks about you.
&[HASHTAG]#127344[/HASHTAG];(+) : Good leadership.
&[HASHTAG]#127344[/HASHTAG];(-) : Hardworking.
&[HASHTAG]#127345[/HASHTAG];(+) : Can Sacrifice for others and very ambitious, tolerance.
&[HASHTAG]#127345[/HASHTAG];(-) : Non flexible, Selfish & Sadistic.
&[HASHTAG]#127358[/HASHTAG];(+) : Born to help.
&[HASHTAG]#127358[/HASHTAG];(-) : Narrow minded.
&[HASHTAG]#127374[/HASHTAG];(+) : Very difficult to understand.
&[HASHTAG]#127374[/HASHTAG];(-) : Sharp & Intelligent.
Wakuu hivi hii narrow minded ina maana gani lugha ya malkia tatizo
 
Katika suala la kuzaa, hizi blood groups zina umuhimu gani??
 
Katika suala la kuzaa, hizi blood groups zina umuhimu gani??
Ndio
Mfano kuna wazazi unakuta kila mtoto anaezaliwa aidha anafia tumboni au anazaliwa dhaifu sana
Kinachotokea mfano damu ya mama ni negative then ya mtoto ikawa positive
Mwili wa mama humdetect mtoto kama kitu kipya ndani ya mwili ambacho ni adui
Hivyo huanza kukishambulia....
Mara nyingi wazazi wa aina hii hupata mtoto wa kwanza salama kwa kuwa mwili wa mama unakuw hauna nguvu ya kutosha kupambana na huyu adui lakini baada ya mtoto wa kwanza mwili wa mama huunda strong immunity na kila mtoto anaefuatia hudhoofishwa kirahisi
 
Okay asante kwa ufafanuzi.
 
Hivi ni nini kitatokea endapo mtu ataongezewa damu ambayo sio compatible na yake?
1.Kufeli kwa figo
2.Kuganda kwa damu
3.Presha ya damu ya kushuka kupita kiasi
Ni hali ya hatari ambayo kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kifo
 
Wana sifa zifuatazo
Wana genye mno ktk mapenzi
Wana ucheshi mno.
Wengi hupatwa na fungus mguuni kidole cha pembeni.
Ugonjwa wao mkuu ni malaria
Wepesi wa kufa na kipindupindu hawako stable.
 
Back
Top Bottom