Hivi kweli mnadhani kuhalalisha kumwaga damu za wasio na hatia kwa minajili ya political survival na phantom legitimacy ni ujasiri?
Je, mioyo yenu haikuiwasha shame mnapobadilisha utu kuwa mere collateral damage?
This is state-orchestrated savagery disguised as governance! Kumbukeni, history has an unforgiving memory na cosmic justice haipotezi alama. Damu haina expiry, na gharama yake ni nzito kuliko kiti mnacholinda kwa uoga.