RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Damu iliyomwagika wakati na baada ya uchaguzi,kiroho imehalalisha mageuzi nchini !
Damu hiyo itanena,hakuna haja ya maandamano tena comrades!
Tuendelee kulitumikia taifa letu kwa upendo,idara zina macho na zimeona seriousness ya watanzania na mabadiliko wanayoyataka!
Tutulie, Tanzania mpya inakuja!tuisubiri!