RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Tanzania mpya haiji kwa kusubiriwa. Utasubiri mpaka Yesu atarudi kabla hujaiona!Damu iliyomwagika wakati na baada ya uchaguzi,kiroho imehalalisha mageuzi nchini !
Damu hiyo itanena,hakuna haja ya maandamano tena comrades!
Tuendelee kulitumikia taifa letu kwa upendo,idara zina macho na zimeona seriousness ya watanzania na mabadiliko wanayoyataka!
Tutulie, Tanzania mpya inakuja!tuisubiri!
Bado jini subiani toka Kizimkazi halijakata kiu ya kunywa damu za WatanganyikaDamu iliyomwagika wakati na baada ya uchaguzi,kiroho imehalalisha mageuzi nchini !
Damu hiyo itanena,hakuna haja ya maandamano tena comrades!
Tuendelee kulitumikia taifa letu kwa upendo,idara zina macho na zimeona seriousness ya watanzania na mabadiliko wanayoyataka!
Tutulie, Tanzania mpya inakuja!tuisubiri!
Bado jini subiani toka Kizimkazi halijakata kiu ya kunywa damu za Watanganyika8Damu iliyomwagika wakati na baada ya uchaguzi,kiroho imehalalisha mageuzi nchini !
Damu hiyo itanena,hakuna haja ya maandamano tena comrades!
Tuendelee kulitumikia taifa letu kwa upendo,idara zina macho na zimeona seriousness ya watanzania na mabadiliko wanayoyataka!
Tutulie, Tanzania mpya inakuja!tuisubiri!
JiraniπUsitupangie cha kufanya stupid mofo
Mkuu kiger amboni nako mlikutana na hekaheka kama za katikati ya mji kuwahishwa kulala na wajeda?Usitupangie cha kufanya stupid mofo
Walahi nimekumisi jirani na hii Hali ya mvua huku kigamboni sitoboi mwenzio πJiraniπ
Brother ile Hali inaaanza ilinikutia sinza pale zimelia Sana risasi sema kulikuwa Kuna mwanangu mmoja mwanajeshi alinipa lifti na gari ya jeshi hadi mtaani kwangu kama sio yeye ningevuta pale na ningezimisi sana series na movie huku dunianiMkuu kiger amboni nako mlikutana na hekaheka kama za katikati ya mji kuwahishwa kulala na wajeda?
Nenda nakos ujiopoleeWalahi nimekumisi jirani na hii Hali ya mvua huku kigamboni sitoboi mwenzio π
Basi mi nilijua upo kwa akina nkhosazana kule Zulu land unakula upepoBrother ile Hali inaaanza ilinikutia sinza pale zimelia Sana risasi sema kulikuwa Kuna mwanangu mmoja mwanajeshi alinipa lifti na gari ya jeshi hadi mtaani kwangu kama sio yeye ningevuta pale na ningezimisi sana series na movie huku duniani
Hivi 100 others yupo salama kweli??πBrother ile Hali inaaanza ilinikutia sinza pale zimelia Sana risasi sema kulikuwa Kuna mwanangu mmoja mwanajeshi alinipa lifti na gari ya jeshi hadi mtaani kwangu kama sio yeye ningevuta pale na ningezimisi sana series na movie huku duniani
Inshallah Itakuwa yupoHivi 100 others yupo salama kweli??π
Nilikuwa dar es salaam kakaBasi mi nilijua upo kwa akina nkhosazana kule Zulu land unakula upepo
Huko mbali nataka uje wewe afu tucheki movie πΏ π₯Nenda nakos ujiopolee