PostGE2025 Damu iliyomwagika inatosha kwa ukombozi,msiandamane tena ndugu zangu!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mabadiliko hayaji kwa Maombi au maridhiano lazima kuheshimiana Lissu yuko jela Polepole hatujui alipo Wewe kama unasaliti saliti lakini lazima muafaka upatikane
 
Mkuu tuheshimiane, heshima ni kitu cha bure! Ebooh! Bahati yako nimetafuta tusi jipya nimelikosa.
 
Kwa serikali hii ya wanywa damu?
 
Kwa serikali hii ya wanywa damu?
Kuna mabadiliko yatafanyika na nadhani tone yake tumeisikia tayari!

Nguvu KAZI ya taifa letu isipotee bure!

Damu iliyomwagika itakua Chachu ya mageuzi yajayo!!

Tusubiri TU!
 
Kwasababu hujauliwa ww Wala ndugu zako unahaki ya kusema hivyo lakini muda utaongea
 
Kwasababu hujauliwa ww Wala ndugu zako unahaki ya kusema hivyo lakini muda utaongea
Sasa mkirudi kwenye maamdamano SI ndio mtapoteza ndugu wengi zaidi!!?

Hata hao waliokufa ni ndugu zangu coz hakuna ajuaye kesho!!

Tumuachie Mungu awezae yote atajibu na Nuru itaangaza!
 
Mabadiliko hayaji kwa Maombi au maridhiano lazima kuheshimiana Lissu yuko jela Polepole hatujui alipo Wewe kama unasaliti saliti lakini lazima muafaka upatikane
Kaka take pole pole mjeda was NATO kishasema anajua mdogo wake alipo,na katoa maelekezo Kwa Mkunda wampeleke hospital akatibiwe!

Maridhiano is the best way comrades!
 
Walioimwaga hiyo damu wachukuliwe hatua zipi? Ni ushuzi tu umeandika kama hujazungumzia kuwajibishwa kwa wauwaji wa halaiki
 
Wanataka kufanya mageuzi, wanaingia barabarani vyuma vikianza kulia kila mtu anakula chocho kulinda roho yake

Wale wanangu tuloachana pale Tabata wanaitafuta riverside badala ya mambo kuwa mabaya sijui kama walifika salama
 
Kaka take pole pole mjeda was NATO kishasema anajua mdogo wake alipo,na katoa maelekezo Kwa Mkunda wampeleke hospital akatibiwe!

Maridhiano is the best way comrades!
Maridhiano kuhusu nini tunachotaka rasimu Warioba iwe mezani na maridhiano katiba iyatambue sio maridhiano ya wahuni kuendelea kula nchi hapana
 
Maridhiano kuhusu nini tunachotaka rasimu Warioba iwe mezani na maridhiano katiba iyatambue sio maridhiano ya wahuni kuendelea kula nchi hapana
Si ndio hiyo spika Azan Zungu kaisema kwamba Bunge hili litashughulikia matakwa ya wananchi!!?

Rasim ya warioba ndio itajadiliwa rasmi na kuwa katiba mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…