asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
Hakuna maumivu anayoyapata?? Hapo kwenye kitovu hakuna kidonda au uwazi?Asante Mkuu ... Binti ni mrembo nampenda sana aisee inabidi nitafute tiba au ushauri nini cha kufanya
Hakuna maumivu anayoyapata?? Hapo kwenye kitovu hakuna kidonda au uwazi?
Hospital akienda anapigwa sindano za kiuno tu asa sjajua ni tiba au kuotea .... Maana baada ya miezi kadhaa tatizo linajirudiaS umpeleke hospital mkuu
tafta hospital kubwa zenye huduma bora mkuuHospital akienda anapigwa sindano za kiuno tu asa sjajua ni tiba au kuotea .... Maana baada ya miezi kadhaa tatizo linajirudia