Damu kutoka kwenye kitovu Kwa Msichana umri Miaka 19

Damu kutoka kwenye kitovu Kwa Msichana umri Miaka 19

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
1,667
Reaction score
1,411
Habari

Natumaini wazima wote,na mnendelea na mapunziko weekend....

Rafiki yangu wa kike ... Anashida ya kutokwa damu kwenye kitovu .tatizo hili lina muda hivi sasa linamiaka mitatu hivi damu hutoka kwenye kitovu kila baada miezi 3 au 6 hivi inatoka .. Hili linasababishwa na nini? .... Pia inaweza likawa shida ya kutokupata Mtoto hapo baadae ?

Nawezaje kulitibu hili ....

Natanguliza shukrani ...nipate ufumbuzi japo wa mawazo tu
 
Back
Top Bottom