Damu kutoka kwenye nyeti za kiume

Damu kutoka kwenye nyeti za kiume

Miss trinity

Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
95
Reaction score
24
Mume wangu kuna wakati hutokwa na damu kidogo kwenye uume usiku na asubuhi tunaona kwenye shuka je ni ugonjwa gani huu ndugu zangu...
 
Mmh kwann hamjaenda hospitali mpaka sasa? Mbona kinaonekana ni kitu criaz
 
Tulienda akaambiwa ana UTI akapewa dawa akatumia mpk zikaisha bt kuna siku hyo hali ikajirudia xo tukashindwa kujua km ni kweli UTI au siyo???
 
Akapime kichocho cha mkojo kinajulikana kama schistosomiasis ambacho husababishwa na wadudu wanaoitwa Schistosoma Hematobium. Hutokea zaidi kwa watu waliowahi kuishi karibu na maji ya ziwani, baharini, etc ndiko kwenye mazalia ya hao wadudu. Ingawa kwa sasa ni ugonjwa wa nadra sana.
 
mmmmh pole sasa mnafanyeje daily glory?
 
Akapime kichocho cha mkojo kinajulikana kama schistosomiasis ambacho husababishwa na wadudu wanaoitwa Schistosoma Hematobium. Hutokea zaidi kwa watu waliowahi kuishi karibu na maji ya ziwani, baharini, etc ndiko kwenye mazalia ya hao wadudu. Ingawa kwa sasa ni ugonjwa wa nadra sana.

Nimekuelewa an thx x mch.
 
Back
Top Bottom