willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,071
- 1,303
Nilipiga bao mbili kama saa moja na nusuhiyo shoo ya kibabe ulikuwa unaipigaje?
Aseee inaniuma sana nimeua kiumbe changu mimi mwenyeweMzee mwenzangu wahi hospital upuuzi huo nimeharibu mimba 2 za mama chanja.
Aseee inaniuma sana nimeua kiumbe changu mimi mwenyewe
Mke wangu anamimba ya week 11 jana nimemaliza show nilipiga ya kibabe asubuhi akasema ameona matone ya damu, sasa jioni pia imeendelea kutoka, roho inaniuma sana ndo tunapoteza kiumbe chetu daah inaniuma sana wakuu ndo alikua wa kwanza huyoo. Pili anasema hasikii maumivu yoyote yale ila damu ni nyepesi na sio mabonge mabonge. Msaada ushauri jamaaan nataka kesho twende hospitali
kwa Nini mnawakomoaMzee mwenzangu wahi hospital upuuzi huo nimeharibu mimba 2 za mama chanja.
inawezekana mkeo ujauzito wake haujatoka aende hospitalAseee inaniuma sana nimeua kiumbe changu mimi mwenyewe
Anaimarisha cv [emoji23][emoji23][emoji23]kwa Nini mnawakomoa
ni kukomoana best Kwanza hata hao wake zao nawasifu wengine kipindi mimba ni changa hatutaki hata kuguswaAnaimarisha cv [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mtu anasimamia utafikiri ni mashindanoni kukomoana best Kwanza hata hao wake zao nawasifu wengine kipindi mimba ni changa hatutaki hata kuguswa
Ushapakata mwana(mtoto), maana sijaona mrejesho tangu siku zile kwenye uzi ule...ni kukomoana best Kwanza hata hao wake zao nawasifu wengine kipindi mimba ni changa hatutaki hata kuguswa
si ndio hapo halaf kuku wako mwenyewe manati ya mini? Huyo dada anaweza pewa bed restYani mtu anasimamia utafikiri ni mashindano
hahahaha ila so mchezo Mungu anisaidie nivuke salama hapa nijifungue salama Yan am in love na kiumbe ambacho hata sura yake siijuiMchokozi huyo mtoto[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kila la kheri katika hiyo hatua....
kwa Nini mnawakomoa
mh ila mume alipaswa kujua mwenzie hayuko Kama mwanzo wangefanya kwa afyaHiyo ni mimba yenyewe ndiyo itakuwa imekuja kihivyo.wengine wakiwa na ujauzito wanapenda sana kupigwa mabao ya grade one.so mshikaji alikuwa anakata kitu ya mama mjamzito
Mimi nasubiri tu nije nimteke huyo mtoto kwa kunipenda, mimi ni kinara wa kupendwa na kupenda watoto sijui kwa nini...hahahaha ila so mchezo Mungu anisaidie nivuke salama hapa nijifungue salama Yan am in love na kiumbe ambacho hata sura yake siijui
Aamyn inshallah Allah atafanya wepesi.