BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Utaitafuta mwenyewe mb🙊🙊ila sasa unajua ni aste aste 😜😜😜
Nikibeba mimba ole wake aniguse[emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikibeba mimba ole wake aniguse[emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaitafuta mwenyewe mb[emoji87][emoji87]ila sasa unajua ni aste aste [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuu sitaki hadi nijifungue.
Zishindwe kabisa, nitazikemea.Uombe mungu minyege [emoji41][emoji41] isikusumbue maana mimba nyingine minyege debe kila saa utalitafuta dudu na huwa wanadai inasaidia kujifungua kirahisi.
[emoji3][emoji3] wengine huwa tunataka hadi siku ya kuingia labor[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuu sitaki hadi nijifungue.
Good newshahahaha ila so mchezo Mungu anisaidie nivuke salama hapa nijifungue salama Yan am in love na kiumbe ambacho hata sura yake siijui
Aamyn inshallah Allah atafanya wepesi.
Hapana BAK, unamtisha mtoa mada, kiumbe kinaweza kuwa salama sema sio dalili nzuri kwa mimba changa na wasipochukua tahadhari mapema itakula kwao
Yeah lets cross our fingers, inabidi alete mrejesho hapaTuombe Mungu iwe hivyo lakini Kama damu iliendelea kutoka continously tangu wamalize na ilikuwa ni kwa masaa mengi uwezekano wa mimba kuwepo ni mdogo sana labda kama ilikuwa inaacha halafu inatoka tena.
Mweeeeeh[emoji134][emoji134][emoji3][emoji3] wengine huwa tunataka hadi siku ya kuingia labor
🙈🙈mamboGood news
[emoji85][emoji85]mambo
Mungu anasaidia Niko poa sjui nyiePoa za siku...