Damu mimba wiki ya 11

Utaitafuta mwenyewe mb[emoji87][emoji87]ila sasa unajua ni aste aste [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuu sitaki hadi nijifungue.
 
Reactions: BAK
Uombe mungu minyege 😎😎 isikusumbue maana mimba nyingine minyege debe kila saa utalitafuta dudu na huwa wanadai inasaidia kujifungua kirahisi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuu sitaki hadi nijifungue.
 
Uombe mungu minyege [emoji41][emoji41] isikusumbue maana mimba nyingine minyege debe kila saa utalitafuta dudu na huwa wanadai inasaidia kujifungua kirahisi.
Zishindwe kabisa, nitazikemea.
 
Reactions: BAK
Poleni sana hakuna mimba tena hapo na vizuri kuwahi hospitali.
Hapana BAK, unamtisha mtoa mada, kiumbe kinaweza kuwa salama sema sio dalili nzuri kwa mimba changa na wasipochukua tahadhari mapema itakula kwao
 
Reactions: BAK
hahahaha ila so mchezo Mungu anisaidie nivuke salama hapa nijifungue salama Yan am in love na kiumbe ambacho hata sura yake siijui

Aamyn inshallah Allah atafanya wepesi.
Good news
 
Tuombe Mungu iwe hivyo lakini Kama damu iliendelea kutoka continously tangu wamalize na ilikuwa ni kwa masaa mengi uwezekano wa mimba kuwepo ni mdogo sana labda kama ilikuwa inaacha halafu inatoka tena.

Hapana BAK, unamtisha mtoa mada, kiumbe kinaweza kuwa salama sema sio dalili nzuri kwa mimba changa na wasipochukua tahadhari mapema itakula kwao
 
Tuombe Mungu iwe hivyo lakini Kama damu iliendelea kutoka continously tangu wamalize na ilikuwa ni kwa masaa mengi uwezekano wa mimba kuwepo ni mdogo sana labda kama ilikuwa inaacha halafu inatoka tena.
Yeah lets cross our fingers, inabidi alete mrejesho hapa
 
Reactions: BAK
Kutokana na kimya kirefu nahisi mrejesho si mzuri Mtende tena ni wao wa kwanza, au labda wako hospitali.
Duuh Mungu awatangulie tu, kwani BAK, hauna namba za mleta mada tumpigie [emoji3][emoji3]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…