Damu ya dharura yahitajika Muhimbili

Damu ya dharura yahitajika Muhimbili

Mganga wa Jadi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2008
Posts
280
Reaction score
51
hali ni mbaya muhimbili, nimejaribu ku post thread naona imemezwa na threads nyingine zilizokuwepo, lakini ukweli ni kwamba damu inahitajika muhimbili na kwa wale wenye mapenzi mema mnaombwa kwenda kusaidia ndugu zetu walio kwenye janga hili ambalo sio la kujitakia.
 
Back
Top Bottom