Damu ya mwanamke ya hedhi(menstruation) ni sumu?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.
 
Ushaiita damu halafu unaandika tena ni sumu...!!!
Kama ingekua na madhara si wanawake wangekua washadhurika wote...

Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.
 
Unazungumzia kama ni sumu kwa kuinywa au kujipaka au kivipi? fafanua swali lako.
 
......ni hivi ile damu ya hedhi ikisha toka ukeni,endapo mtu mwingine ataigusa au kuilamba ina madhara? kuna mtu alijaribu kuchanganya maji ya damu kwenye chakula akampa mbwa anadai alishuhudia mbwa akidhoofika kiafya na hatimae akafa,ndio mana nkasema kwa anaejua zaidi anijuze.
 
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.

we utakuwa mzee wa chumvini endelea na kamchezo kako ubabuke midomo na ulimi.
 
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.

Madhara kwa nani.....hujaeleweka vizur
 
Inatoa chunusi
kwa hiyo hawa mademu wenye chunusi washangahike tena..watumie ile tu...sometimes "comments" zako
A%20S-smoking.gif
 
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.

siyo sumu ila jua hilo ni limbwata kali sana katika malimbwata yote chini ya jua
 
...nasumbuliwa sana na panya jikoni kwangu,nasubiri mamsapu akiingia kwenye siku zake ntajaribu kuchukua hiyo sumu kuangamiza hao panya...kumbe watu watembea na viwanda vya sumu alfu sisi tunagaika bure!?...ahaaa ahaaa ahaaa,yaaani unataka kuniambia binadam wanatoa "Viwatirifi" Dawa ya jiko 2 acha utani bhana,watake radhi akina mama/dada zetu...
 
Last edited by a moderator:
Ni sumu, kwa anaebisha ailambe then atapata jibu.
 
Back
Top Bottom