Damu ya mwanamke ya hedhi(menstruation) ni sumu?

Damu ya mwanamke ya hedhi(menstruation) ni sumu?

......ni hivi ile damu ya hedhi ikisha toka ukeni,endapo mtu mwingine ataigusa au kuilamba ina madhara? kuna mtu alijaribu kuchanganya maji ya damu kwenye chakula akampa mbwa anadai alishuhudia mbwa akidhoofika kiafya na hatimae akafa,ndio mana nkasema kwa anaejua zaidi anijuze.

Ile damu ni uchafu ambao haistahili kuliwa kwa afya ya mlaji, madhara yake ni sawa na mtu kula uchafu wowote usiostahili kuliwa. kusema kuwa ni sumu nadhani si sawa ila ni vema kusema kuwa ni uchafu.
 
Hata sina la kuchangia. Njoja niyasome mawazo ya wadau mwanzo mwisho then ntajiongeza kimya kimya kupata jibu.
 
......ni hivi ile damu ya hedhi ikisha toka ukeni,endapo mtu mwingine ataigusa au kuilamba ina madhara? kuna mtu alijaribu kuchanganya maji ya damu kwenye chakula akampa mbwa anadai alishuhudia mbwa akidhoofika kiafya na hatimae akafa,ndio mana nkasema kwa anaejua zaidi anijuze.

hii story nilisimuliwa mwaka 2000, saa mbili usiku jumamosi ilikuwa, ila nikaambiwa ni paka kumbe na mbwa nae alilambishwa!!! mweh.......
 
......ni hivi ile damu ya hedhi ikisha toka ukeni,endapo mtu mwingine ataigusa au kuilamba ina madhara? kuna mtu alijaribu kuchanganya maji ya damu kwenye chakula akampa mbwa anadai alishuhudia mbwa akidhoofika kiafya na hatimae akafa,ndio mana nkasema kwa anaejua zaidi anijuze.
Ramba kidogo uone,usisikie mambo ya uzushi!!Yani watu wengine jamani,yaani umenogewa mpaka sasa unataka ule na hiyo damu,muulizie huyo shemeji yetu kama haina madhara awe anakukingia unatengeneza kisusio natumaini itakuwa tamu sana.:heh::heh:
 
Siyo kweli kwamba ni sumu bali hatushauri kufanya mapezi wakati mwanamke yupo kwenye hedhi , hasa dini zetu na mila , hazituruhusu kabisa na kuna uwezekano ukaambukizwa maradhi kama ukifanya wakati mwanamke yupo mwezi , kwa sababu damu ile ina kiasi kikumbwa sana cha bacteria ambao wanaweza kukuletea madhara kwa afya ya mwanaume
 
du ingekuwa sumu wamgekufa kina dada zeru wote kwa kuwa zinatokea mwilini. ni uchafu tu kama uchafu mwingine
 
Back
Top Bottom