wamogori
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 888
- 339
......ni hivi ile damu ya hedhi ikisha toka ukeni,endapo mtu mwingine ataigusa au kuilamba ina madhara? kuna mtu alijaribu kuchanganya maji ya damu kwenye chakula akampa mbwa anadai alishuhudia mbwa akidhoofika kiafya na hatimae akafa,ndio mana nkasema kwa anaejua zaidi anijuze.
Ile damu ni uchafu ambao haistahili kuliwa kwa afya ya mlaji, madhara yake ni sawa na mtu kula uchafu wowote usiostahili kuliwa. kusema kuwa ni sumu nadhani si sawa ila ni vema kusema kuwa ni uchafu.