Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.
Unazungumzia kama ni sumu kwa kuinywa au kujipaka au kivipi? fafanua swali lako.
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.
"gundi haigandi kwenye kopo lake"Mmmh... Basi ingeanza kutuua sisi wanawake..!
kwa hiyo hawa mademu wenye chunusi washangahike tena..watumie ile tu...sometimes "comments" zakoInatoa chunusi
kwa hiyo hawa mademu wenye chunusi washangahike tena..watumie ile tu...sometimes "comments" zako
"gundi haigandi kwenye kopo lake"

Inatoa chunusi