@dansserenkuma
Today, Simba FC, myself and my agent have decided to mutually terminate my employment contract.
Haaaa jamaa kaona timu yenyewe haina future, wee kila mwaka timu inashiriki mabonanza tu utaonekana vipi kimataifa
Bado okwi naye muda si mrefu mtasikia huyooooo!!!
Mchezaji butu wa Simba sc aliye sajiliwa katika dirisha la usajili lililopita ametamatisha mkataba wake na club hiyo baada ya mambo kuwa magumu mno.
Katika account yake ya twitter ameandika :
@dansserenkuma
Today, Simba FC, myself and my agent have decided to mutually terminate my employment contract.
Mshambuliaji huyo alinunuliwa katika Klabu ya simba ili kujaza nafasi ya Hamisi Tambwe aliye kimbilia Yanga Fc.
Dani hata kama asingesitisha mkataba wake, panga lingemuhusu tu maana "mwenyekiti" Raphael Kiongera anakuja kukaa kwenye kiti chake msimu ujao.
Huyo Kiongera alishindwa tangia mwanzo... sidhani kama anaweza rudi.!
1nataka moyo sana kuwa na ujasiri wa kuoga maji ya Maiti!
Duh umefikiria mbaliHuyo jamaa angekuwepo na jina lake hilo wakati Simba inacheza na Libolo sijui ingekuwaje
Kiongera ana mkataba na Simba SC, Msimu ujao lazima tuwe nae, hivyo mjiandae tu kukutana na dhahama lake.
Mmmm napita tu ila huyu anaejua simba wanaogea maji ya maiti aaaah!!!%$##% nafikir huwa anawauzi simba hayo maji