Dan Sserenkuma achana rasmi na Simba

Wanaondoka mmoja mmoja, bado okwi kama ana mtazamo wa mbele kimpira na kama ana mtazamo wa ""simba yangu"" atabaki ili aendelee kucheza mchangani.
 
Wanaondoka mmoja mmoja, bado okwi kama ana mtazamo wa mbele kimpira na kama ana mtazamo wa ""simba yangu"" atabaki ili aendelee kucheza mchangani.

Wanaondoka mmoja mmoja na pole pole lakini kwa uhakika.

Simba zii!
 
Kiongera ana mkataba na Simba SC, Msimu ujao lazima tuwe nae, hivyo mjiandae tu kukutana na dhahama lake.

Vipi kuhusu mdogo 'ake Sserenkuma?... yupo?

Ameshindwa Sserenkuma kuoga maji sembuse huyo Kuhongera.
 
grafani11 uko wapi...? au na wewe umewakimbia wa MCHANGANI....?
 
Last edited by a moderator:
Wanaondoka mmoja mmoja, bado okwi kama ana mtazamo wa mbele kimpira na kama ana mtazamo wa ""simba yangu"" atabaki ili aendelee kucheza mchangani.

Inaonekana Okwi ameyazoea yale Maji... maana hata haonyeshi kulaamika.......!
 
Vipi kuhusu mdogo 'ake Sserenkuma?... yupo?

Ameshindwa Sserenkuma kuoga maji sembuse huyo Kuhongera.
Danny, Simon sserunkuma na Joseph Owino watemwa rasmi simba-#bin- zubeiry.....
 
Haaaa jamaa kaona timu yenyewe haina future, wee kila mwaka timu inashiriki mabonanza tu utaonekana vipi kimataifa

Bado okwi naye muda si mrefu mtasikia huyooooo!!!

Hahahah nyie ndio hamna future wachezaji hadi wanakimbia wanaogopa kuomba ruksa kwenda kwenye majaribio Nje.
 
Hahahah nyie ndio hamna future wachezaji hadi wanakimbia wanaogopa kuomba ruksa kwenda kwenye majaribio Nje.

Msuva anatorokaje wakati bado ana mkataba na Yanga Fc.
Hata akipata timu huko ni lazima aje kuaga kwa muajiri wake.
Ili hati ya uhamisho ufanikishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…