yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Huyo jamaa angekuwepo na jina lake hilo wakati Simba inacheza na Libolo sijui ingekuwaje
Ser **** kukutana na liboro...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa angekuwepo na jina lake hilo wakati Simba inacheza na Libolo sijui ingekuwaje
Wanaondoka mmoja mmoja, bado okwi kama ana mtazamo wa mbele kimpira na kama ana mtazamo wa ""simba yangu"" atabaki ili aendelee kucheza mchangani.
Simba wameharibu sana kiwango cha Dan...
Bora kafanya maamuzi ya busara ya kuachana na hao Mkia FC waoga maji ya maiti...
Mkuu uko sahihi kabisa, hebu fuatilia hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=K8bQuFmIufw
https://www.youtube.com/watch?v=cH2KhxufIxk
Danny, Simon sserunkuma na Joseph Owino watemwa rasmi simba-#bin- zubeiry.....Vipi kuhusu mdogo 'ake Sserenkuma?... yupo?
Ameshindwa Sserenkuma kuoga maji sembuse huyo Kuhongera.
Haaaa jamaa kaona timu yenyewe haina future, wee kila mwaka timu inashiriki mabonanza tu utaonekana vipi kimataifa
Bado okwi naye muda si mrefu mtasikia huyooooo!!!
Hahahah nyie ndio hamna future wachezaji hadi wanakimbia wanaogopa kuomba ruksa kwenda kwenye majaribio Nje.
Ser **** kukutana na liboro...