Danadana majaribio treni ya SGR Dar - Moro

Hivi mkuu "white elephant" huwa ina maana gani?
Nimeona mara kadhaa likitumiwa bila kujua maana yake.
Google naletewa majibu ya kimalkia ambacho sikijui.

Au ina maana kuna upigaji? (muda wote nahisi ina maana hiyo)
  1. a possession that is useless or troublesome, especially one that is expensive to maintain or difficult to dispose of.

  2. "a huge white elephant of a house that needed ten thousand spent on it"
 
Wamiki wa usafiri wa mabasi,.malori vs SGR

Ova
 
Ww hujawahi kuwa na akil
Itakamilika tu mpaka sasa inaonekana kwa macho na viongozi wa Uganda na Burundi wameitembelea na kuvutiwa sana na SGR yetu.

Kenya wana SGR pia lakini hawajawahi kutembelewa na rais wa nchi yoyote kuiona.
 
Hivi mkuu "white elephant" huwa ina maana gani?
Nimeona mara kadhaa likitumiwa bila kujua maana yake.
Google naletewa majibu ya kimalkia ambacho sikijui.

Au ina maana kuna upigaji? (muda wote nahisi ina maana hiyo)
White elephant. Ni mradi au biashara ambayo Haina faida inatengeneza hasara
 
Kwa saa hata 2 alikwambia nani? Na mavibao yenu ya 50 kila baada ya kilometre 1
 
Miradi ya Magufuli mungi haina tija. Kule Rufiji tumefyeka zaidi ya miti million sita. Tuna akili kweli??
Huenda wewe huna akili vizuri hebu funua kichwa uone kama kuna ubongo kabla ya ku comment upuuzi!

Iwacheni miradi iishe kwa wakati kisha tuone mtambo ukiwashwa na usipowashwa kipi kitakuwa nafuu! Mnatafutiwa sababu za kuiua miradi ili watawala wainginze 10% kwenye miradi wanayotaka wao matokeo maisha yazidi kuwa magumu unit ziuzwe mara mbili ya bei ya sasa kwa kisingizio cha soko la dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…